![azlyrics.biz](https://azlyrics.biz/assets/logo.png)
maua sama - binua lyrics
[intro : jaivah]
dance kidogo
i say dance kidogo
oya dance kidogo
dance kidogo
[verse 1 : maua sama]
ile ngoma ndo hii
ya kukamatana ya kukamata
ile tbt twazichana chana
twazichana chana
body mwagika kama mchele
ooh yeah yeah yeah
putu putu wanaruka kama mshale
ooh yeah
kama mlenda kiuno laini laini
tena kama chiba, ehee ahaa
[pre chorus : maua sama]
tuu tuliza, tulizi tulizana
zii zima taa, hatuhitaji kuonana
tuliza, tuliza boli tuliza
kama mashetani pandisha
pandisha mori pandisha
nimekuja na ubani twende
haa! watapata tabu sana
tena watahanya hanya
vya kutafuna watamung’unya
ngoma na isome iyo
[chorus : jaivah]
eh sasa binua, binua
binua chekecha binua
binua, binua
binua chekecha binua
sasa chekecha, chekecha
chekecha binua chekecha (mautundu)
chekecha, chekecha
chekecha binua chekecha (mautundu)
[verse 2 : maua sama]
washachelewa chee
bei zao bei za che
hawatoweza ata punje
bei zao bei za che
oyaa, noma sana
si tumebarikiwa na maulana
watatukana na tunachanja njia
wataungama
matunda yameshaiva
mw+nga umewaka kwa kiza
wanangu nyie mnaonaje?
mnatubamba ile mbaya
nesa nesa, deka deka
ruka ruka, ngoma ikikukoleza
[pre chorus : maua sama]
tuu! tuliza
tulizii, tulizana
zii zima taa
hatuhitaji kuonana
tuliza, tuliza boli tuliza
kama mashetani pandisha
pandisha mori pandisha
nimekuja na ubani twende
haa! watapata tabu sana
tena watahanya hanya
vya kutafuna watamung’unya
ngoma na isome iyo
[chorus : jaivah]
eh sasa binua, binua
binua chekecha binua
binua, binua
binua chekecha binua
sasa chekecha, chekecha
chekecha binua chekecha (mautundu)
chekecha, chekecha
chekecha binua chekecha (mautundu)
[outro :jaivah]
eh mwacheni yamepanda (yamepanda)
tyson kang’atwa na evanda
(eeh! kang’atwa na evanda)
anataka kuivua na kanga
(mashetani yamepanda mwacheni)
eti alete michezo ya w+nga
and the good work has been
done by kapipo
(the mix k!ller)
Random Lyrics
- xhris2eazy - michigan lyrics
- fern_shy - wtf lyrics
- why g - musketeers lyrics
- sergio denis - tanto te amo lyrics
- exit (fin) - tahdon elää lyrics
- kwon jin ah (권진아) - 핑계 (excuse) lyrics
- mayot - velichie lyrics
- icy goldz - pa ponerte el anillo lyrics
- emmerhoff & the melancholy babies - lovers left alive lyrics
- fake - d-elite lyrics