
maua sama - congratulations lyrics
[verse 1 : maua sama & darassa]
i’m excited its already weekend
huku kwetu party it’s already weekend
nili+hustle kwa kushinda sana njaa
kitu kimoja me sikukata tamaa
sikua na sehemu maalumu ya kukaa
nimekaza mpaka leo nimeng’aa
usiku nje baridi kali unahitaji scurf
na ndani game yenyewe hatari mechi tough
maisha kama porini kula au kuliwa ndafu
we kazi yako nini kwenye ma+group whatsapp
tafuta hela
hela hela tunatafuta hela
hela hela mihela
[chorus : maua sama]
congratulations my friend
congratulations my friend
make you sing for me
naana naanaaa nanaaa naaana naaana
naana naanaaa nanaaa naaana naaana
[verse 2 : darassa]
catch a train catch a plane
catch the game don’t complain
no pain no gain
kesho tena do it again
me ndo nakukaribisha njoo
me ndo nakuahabarisha bro
some pеople coming and go
things your already know
maybe you been thеre before
so huwezi lala ki four
push push open doors
it’s not enough i need more
niko rough niko store mtoa roho
tena pro kata shingo chainsaw
maua sama we go
[chorus : maua sama & darassa]
congratulations my friend
congratulations my friend
make you sing for me
naana naanaaa nanaaa naaana naaana
na+pup champagne, make toast to life
naana naanaaa nanaaa naaana naaana
work hard, pray hard, work hard, live life
Random Lyrics
- laura les - cute dj 20190212 lyrics
- death plus - origin of pain lyrics
- kae (karim selam) - the booker pt.2 lyrics
- julian marley - papa lyrics
- suki goth - screaming abyss lyrics
- chris the wiz - cope lyrics
- jelias - alles taut auf lyrics
- charly mcclain - i think i could love you (better than she did) lyrics
- godhandusa - if you want it bad enough lyrics
- dead to this world - death courageous lyrics