maua sama - katu katu lyrics
uuuh…! uuuh.!
hitaji la moyo nifanye nn kwako ili nitimize
kwa penzi la uchoyo uclipende na bado nafsi ikupenge (ooh! baby)
kama umeshachoshwa nami nambie (he he he)
kuliko kunifanya mapenzi nichukie(he he he)
nicpende mwingine mapenzi nijutie (he he he)
kuhofia ya leo yacjirudie (he he hheeee.)
katukatu katukatu katukatukatu… 2(penzi hili ni katu)
oooh! baby penzi umelitia doa, na kama n jazba
sawa nabidi kukosoa na shindwa roho kwa haya mateso nikidharau itakuwa kamchezo hunidanganye k-mbe unipendi bwana aaaaah!
kama umeshachoshwa nami nambie (he he he)
kuliko kunifanya mapenzi nijutie (he he he)
nicpende mwingine mapenzi nijutie (he he he)
kuhofia ya leo yacnirudie yeyeeeee…!
ckuamini tena katukatukatu katukatukatu (penzi hili ni katu eeh)2
kama umeshachoshwa nami niambie (he he he)
kuliko kunifanya mapenzi nijutie (he he he)
nicpende mwingine mapenzi nijutie (he he he)
kuhofia ya leo yacnirudie yeyeeeeeee!
ckwamini tena katukatu katukatu (penzi hili ni katu)2
Random Lyrics
- gallardoski - yo era un tonto lyrics
- olivia o'brien - ain't no love in la lyrics
- eric heron feat. cortes - the ride lyrics
- alan rosales feat. chel maya - ella lyrics
- st. vincent - los ageless lyrics
- iskwe - soldier lyrics
- warhol.ss - froze lyrics
- iksan skuter - untukku untukmu lyrics
- dinda firnanda - mas hari lyrics
- iksan skuter - generasi marah-marah lyrics