azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

maua sama - namwachia lyrics

Loading...

[verse 1]
yangu furaha, imegeuka majuto
kicheko kimegeuka kilio
ila ninaamini wema hauozi umenipa mazito, me naumia hey
nilijua utanifuta machozi umenipa majonzi, me nalia

[pre chorus]
zangu hisia nilishindwa kuficha
wazi wazi ukatambua
na ndonga ukanpasua
w+ngu rafiki, wote ulowajua
na nguo ukawavua, pasipo me kujua
wacha nikae pembeni

[chorus]
(namwachia mungu tu)
labda kuna mahali nilikosea
(namwachia mungu tu)
kesi yako kwake nakushtakia
(namwachia mungu tu)
maana umezidi kunionea
(namwachia mungu tu aaaahh)

[verse 2]
nilikupa muda na vyote vilivyo vyangu
ila malipo ya yote kunitukanisha na ndugu zangu
kweli mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi
nimelijua sawa
moyo w+ngu umeuchakaza
umehondomola mpaka gunzi
wema umenilipa ubaya
sitoshindwa hata tukionana
kuachana sio uhasama
sintothubutu kuzozana nimekunawa
nakuombea kheri salama
umpate yule mtakae wezana
k+mbuka kugunga zipu bwana msije kwazana
[pre chorus]
zangu hisia nilishindwa kuficha
wazi wazi ukatambua
na ndonga ukanpasua
w+ngu rafiki, wote ulowajua
na nguo ukawavua, pasipo me kujua
wacha nikae pembeni

[chorus]
(namwachia mungu tu)
labda kuna mahali nilikosea
(namwachia mungu tu)
kesi yako kwake nakushtakia
(namwachia mungu tu)
maana umezidi kunionea
(namwachia mungu tu aaaahh)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...