
maua sama - never ever lyrics
[verse 1]
baby all i want is for you to be here
if sun goes down you know imma still be here
penzi la ujazo lijae mpaka pomoni
wawili kama macho, only me and you (me and you)
[pre chorus]
nishajitoa mie sadaka, nitakufuata kila kona
kama gari ndiyo lishawaka, usijali ata wakinon’gona
future yetu ndiyo ishajengeka, kwa mbali kama naiona
you’re my one and only true love, nisha+verify we ni noma
[chorus]
never ever ever ever leave you alone
nitakung’ang’ania mpaka mwisho
never ever ever ever leave you alone
wewe na me, niwe na wewe mpaka kifo
never ever ever ever leave you alone
baby mpaka mwisho
never ever ever ever leave you alone
oooh oooh yeeeah
[verse 2]
umeniganda +ganda, kuku usiniache kifaranga
umeniwa+wa+washa, kama ni n+z+ ishakoleaga
kamoyo kangu umeshakateka
usije niacha me pekeyangu nitateseka
ukiwa mbali natetereka, ubaridi unavyoniganda natetemeka
[pre chorus]
nishajitoa mie sadaka, nitakufuata kila kona
kama gari ndiyo lishawaka, usijali ata wakinon’gona
future yetu ndiyo ishajengeka, kwa mbali kama naiona
you’re my one and only true love, nisha+verify we ni noma
[chorus]
never ever ever ever leave you alone
nitakung’ang’ania mpaka mwisho
never ever ever ever leave you alone
wewe na me, niwe na wewe mpaka kifo
never ever ever ever leave you alone
baby mpaka mwisho
never ever ever ever leave you alone
oooh oooh yeeeah
Random Lyrics
- 8ruki - brain talk lyrics
- meryl streek - by one's own hand lyrics
- mereba - wild sky lyrics
- made, delil & kavo - generation lyrics
- polo gonzález - misma gente lyrics
- lil gohan - by your side interlude lyrics
- lil uzi vert - hater lyrics
- diorvsyou - decarnin balmain.mp3 lyrics
- the yuinon - yuinon anthem lyrics
- vert samael - love overdose lyrics