azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

maua sama - nimeridhia lyrics

Loading...

[verse 1]
kwa goti aliingia
nakutaka nimsamehe
k+mbe ananichora
mapenzi yalinijia
kwenye moyo shurba tele
ya+radhi akanijia
kidudu mtu shetani akayavuruga
akaingia mashakani tukashindwana
kidudu mtu shetani akayavuruga
akaingia mashakani tukakwazana

[pre chorus]
nimeamini kwenye moyo huwezi penda mara mbili
penzi ukalitia kasoro maskini mimi
moyo w+ngu sio godoro, uwe juu me niwe chini
si kisoda kwa kokoro, nimeshindwa mimi yeah

[chorus]
aaah haya nimeridhia (sawa)
siwezi ng’ang’ania (sawa)
aah haya nimeridhia (sawa)
nimeshindwa mimi
aaah haya nimeridhia (sawa)
siwezi ng’ang’ania (sawa)
aah haya nimeridhia (sawa)
nimeshindwa mimi
[verse 2]
kweli sio siri, ilizingwa mapema
tamu yako ya asili, ila ndani yachoma
kheri kuwa dhahiri, maumivu kusema
mlaghai kwa hili, nafsi yangu imenena
nashukuru kwa kidogo, ulichonipa nimepokea
nitabaki kwa mikogo, huyo mwengine k+mngojea

[pre chorus]
nimeamini kwenyе moyo huwezi penda mara mbili
penzi ukalitia kasoro maskini mimi
moyo w+ngu sio godoro, uwе juu me niwe chini
si kisoda kwa kokoro, nimeshindwa mimi yeah

[chorus]
aaah haya nimeridhia (sawa)
siwezi ng’ang’ania (sawa)
aah haya nimeridhia (sawa)
nimeshindwa mimi
aaah haya nimeridhia (sawa)
siwezi ng’ang’ania (sawa)
aah haya nimeridhia (sawa)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...