azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

maua sama - niteke rmx lyrics

Loading...

[intro : harmonize]
hahaha jeshi, konde boy
(kimambo on the beat)

[verse 1 : harmonize]
kipele kimegeuka kindonda
ndonda ndonda eeh
usichanganye na mdele mwenzako nitakonda eeh
konda konda eeh
ninakonda mara sisi sisimka
nikipitisha ulimi kwenye ziwa(nyasa)
bi+bi binuka
miguu kichwa chini nachanganyikiwa
tena usiku si hatulali
nampa mambo adim adim dim
sio kimoko chali
mikono ipo kwa sim sim sim

[chorus : harmonize]
ongeza feni mama nasweti eeh(niteke)
tuchuane kama kareti(niteke teke)
ngololo malewa shakushaku
sikurekodi mi ni jeshi si mwijaku

[chorus : harmonize & maua sama]
zilisha mnyama
mwaga mwaga ma
zilisha mnyama
mwaga mwaga ma
[verse 2 : maua sama]
uma fiti, nidhibiti
ukimumunya pipi
utamu wa kisiginoni
nichikiche nichikichi
na shovu nnje ya kiti
leo nakesha kilindoni
nitw+nge nipepete
nisage nichekeche
nikande niumbuke
kilima nipandishe
kibinda nkoi nkoi(aaaee eeh)
kiwinda pori pori(aaaee)
naringa doli doli(aaaee eeh)
mawinga chori chori

[chorus : maua sama]
niteke! mateka niteke
niteke! niteke teke niteke
niteke teke! mateka niteke
niteke! ooooh…
zilisha mnyama
mwaga mwaga ma
zilisha mnyama
mwaga mwaga ma
mateka niteke
niteke teke niteke
mateka niteke
ooooh…

[outro]
kimambo, they call me jeshi(bunge)
leo mjukuu kala majuto
siku zote sindano inakaaga mbali na puto



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...