azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

maua sama - zai lyrics

Loading...

[verse 1]
so why unatembeza mboko
vitu unavyofanya usifanye in front of my eyes
unaleta mkorogo
why you de keep on telling me lies
si halali kibudu
we hubagui cheupe chekundu
zai najua ndio sababu
kwenye penzi langu nipate tabu

[pre chorus]
zai mwache mume nakuomba
zai kweli mungu anakuona
zai maji kinuni waponda
wallah moyo unanisonona
oya duku limekwama
hee nabado nampenda
ooya mwache zai kwanza hey
au bado unampenda
what do you want me to do ?
me i go die for you
sema lolote i go do
baby as long as i’m with you

[chorus]
zaiii zainabu wewe
oh mume w+ngu me nampenda sana
zai zai zainabu wewe
you de break my heart oh break my hеart
zai zainabu wewe
oh zainab wewee
zai zai zainabu wеwe
you de break my heart breaks my heart
[verse 2]
why why ohh why why why
you denying deny deny deny
oh, my amekupa nini zai
au penzi sikupi ukaridhika ah
ladha imekwisha sio tamu
hata nkupe nikibinuka juu
au kidani chake dhahabu yeah
yeah hey
unajua i can’t leave without you
ubadilike i go wait for you
nafasi nyingine say i do yeah hey

[pre chorus]
zai mwache mume nakuomba
zai kweli mungu anakuona
zai maji kinuni waponda
wallah moyo unanisonona
oya duku limekwama
hee na bado nampenda
oya mwache zai kwanza hey
au bado unampenda
what do you want me to do
me i go die for you
sema lolote i go do
baby as long as i’m with you
[chorus]
zaiii zainabu wewe
oh mume w+ngu me nampenda sana
zai zai zainabu wewe
you de break my heart oh break my heart
zai zainabu wewe
oh zainab wewee
zai zai zainabu wewe
you de break my heart breaks my heart



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...