mavokali - hamjasema lyrics
[intro]
ah ah ah ah ah
ah ah
ah ah ah ah ah
[verse 1]
watu wanasema
mimi kama guta la n+z+
mwenzako unanikokota
unanikokota
nawajua hawajui ah
ila watajua hawajui
i belong to you my love
and you belong to me my love
[bridge]
hawajui kama
nimejipata
na vile kwako sijiwezi
nimekamatika
wanatushanga
vile nyota zinang’a, mi nawe
hawaishi vilanga
vile tunapendana, mi nawe
[chorus]
hamjasema bado
bado hamjasema (hamjasema)
na mtasema
yani mpaka mseme
ninavyo mpenda mwenzenu sioni, sisiki
bado hamjasema
na mtasema
yani mpaka mseme (yani mpaka mseme)
ah ah ah ah ah
ah ah
ah ah ah ah ah
[verse 2]
baby njoo unitoe vijidudu
kwenye macho mwenzako nina vijidudu
nisione wengine hawanihusu
kwani wewe baby umefuzu ah
mi amor, mi amor (mi amor)
tell me everything and i give you more
teamo, teamo (teamo)
moyoni mw+ngu uko peke yako
kila ninapokwenda
ntakwenda na wewe tu
ntakwenda na wewe tu ah
kıla ninachofanya
nitafanya na wewe tu
mpaka washangae
[bridge]
hawajui kama
nimejipata
na vile kwako sijiwezi
nimekamatika
wanatushanga
vile nyota zinang’a, mi nawe
hawaishi vilanga
vile tunapendana, mi nawe
[chorus]
hamjasema bado
bado hamjasema (hamjasema)
na mtasema
yani mpaka mseme
ninavyo mpenda mwenzenu sioni, sisiki
bado hamjasema
na mtasema
yani mpaka mseme (yani mpaka mseme)
Random Lyrics
- blippi - motorcycle madness lyrics
- peter capaldi - bin night lyrics
- fletchr fletchr - life lyrics
- doctor crazy - she says she loves me now, but back then lyrics
- kylie v - lucky streak lyrics
- mello buckzz & vonoff1700 - save drill lyrics
- kasher quon - miramar lyrics
- the perrys - moses and elijah lyrics
- nicólas soul - the light lyrics
- paul and storm - day 1 - the godfather lyrics