azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbogi genje – kidungi lyrics

Loading...

[intro: smady tingz]
utageuzwa kichungi
kila zing amejidaisha kidungi
ground, nare, utageuzwa kichungi (yo)

[verse 1: smady tingz]
hiyo riang’ yenyu ya kusaka t-tle (t-tle)
heri nikamedi, hata na ki-ital (ss-ss!)
siwezi mind ukichoose kuwa rival
juu militan amekuja na ki-rifle
mandaki zao tunapiga mosheki
juu walikataanga kutukatia keki
mkidai, mkakuje na mavedi
tutakuwa zabe tukisetingi mahedi (ss! ss! ss!)
mkipona manangos si tunadungaga mangive
jaza full clip, juu nimefika mayibe
tukisnadi, tunakang’a kila ngite
tuko shughuli, hatusare hadi manjije
waliring mtakula ma-viding
juu hamjui vile si husakanga vushying
si ndio wale wazing, senke tuko jing
tukiload magazine, utabaki tu kwa scene

[verse 2: guzman]
mi nadai nyi mangwete msonge huko kando
juu mi ndio mtambo na nacheza kama rambo
nawakata kama mango, kuwarusha kwa mtaro
na ka una mambo, we mrazi kula vako (mrazi kula vako)
mi namada kama vandetta
na nitafanya mtaniteta
nyi ni mateka juu nishawateka
na ni kidungi ndio mi nachekesha (ha-ha!)
goon man tunakang’a, kang’a
wale wote tunajua ni warazi

[verse 3: smady tingz]
kwa warosho, mafala wanaivisha
we jichoche ndio buda, ukapita
ni kunare, utapiganishwa tisa
na ukichachisha, kuna vile utabakishwa
vibe ngenje ndio riang’
ukisleki utapata mashashola zimeland
mr man, mistari zikigwan
n-z-ndua maga, kishashola nakimash
tumebonda na ma-lugz
leta ufala, utabakishwa na ma-thugs
do di maths, tunasaka-saka sh-gz
one way kama fisi, sina time ya ku-reverse (smady tingz)

[verse 4: militan]
mazing ni kupiga tu baroda
piga riu, tukukate hadi mocha
piga tapo, mrazi achachishe
piga chung-li renga kwa mrota
babylon wanadai tu portmore
wananauwo ngumi mbwegze ni ma-hate-bad
hatuwadungi na ukapi, ni mangiso
leta bloodclaat, tukupige kidi
tiang’ ban, hii akibonga ni abugde
babylon wakimuok, tuko nayo
ng’ora mbogi ka uko na ob
jaribu mbogi ujue si dikwara
wakikwara tunasnadi kimangoto
mangoto tulipiga finamonto
backstreet ukirenga unabaki
riang’ zetu, kuwadunga kwa mandaki

[outro: smady tingz]
hizi beat tun-z-sunda kwa -ss
tunawakulisha das na manyonyo wameburst
round 2, tunakuja kuwabrush
rhyme zao, kuna vile zimerust
(alex vice)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...