azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbosso - assalaam lyrics

Loading...

assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib

uhali gani wa hali
nakusalimu wa hali
habib wa hali
mi mzima wa shwaru
hofu usiwe na swali
moyo umetananari
mazoea, yamenijengea jabia mwenzako
nimelowea, ilo joto joto na harufu yako
nimekolae, linanizongea jinni huba lako
chochoea, upashe moto moto mwili w+ngu wako

(…)

assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib

mbalamwezi imetanda ishara dunia tulivu
jifunge upande kanga mkulima nichume mbivu
farasi mi wako panda, sichoki sina uvivu
deka katoto ka change, upo bahari tulivu
nimekosa ndege wa anga namtuma tuyuri
aje kwako kunipamba kwa maneno mazuri
khan ooh, sina mganga wa kunipa kibuli
sijui kilinge mi najua kitanda kuifanya shughuli
(…)

assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib
assalaam alayk+m ya habib



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...