
mbosso - merijaah lyrics
[intro]
s2kizzy baby
[verse 1]
jirani yangu, jirani yangu tumezoeana
mlango wake, mlango w+ngu vinatazamana
sukari kwake, chumvi kw+ngu tukaazimana
akawa bf w+ngu, udugu w+ngu tukashibana
mwisho tukapendana
[pre chorus]
ooh meri merijaah
kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[chorus]
kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[bridge]
(oooh meri meri
ooh meri merijaah
oooh meri meri
ooh meri merijaah)
[verse 2]
mwambani mwambani eeeeh
mwambani msuli na khanga
wazania wazania eeheeeeehh
waambie ndo tunayaanza
ooooooooh
[pre chorus]
ooh meri merijaah
kama ingekuwa ndo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[chorus]
kama ingekuwa ndo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[outro]
(oooh meri meri
ooh meri merijaah)
Random Lyrics
- duck & cover - no hounds in the cluster lyrics
- soga - icu lyrics
- tiffanysmokes! - bloodonphone lyrics
- innerglow - измислен човек (izmislen chovek) lyrics
- chainsword - gorechild lyrics
- deonte (디온테) (kor) - seeker lyrics
- djubay - en marche lyrics
- let me bleed - glass heart lyrics
- jim legxacy - dexters phone call (feat. dexter in the newsagent) lyrics
- luvyah - naklejki lyrics