mbosso - ova lyrics
ova + mbosso lyrics
#verse
vishavu vimeanza kunona
kitambi ndo hichi sasa ona
nitazame, nanenepa nanenepa
nami nimempata chioma
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kunitukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
ova ova
#chorus
ova mi na wewe ova
ova imetosha ova
ova mi na wewe ova
ova nimesema ova
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
#verse
shilingi shilingi shilingi
shilingi yatutoa roho shilingi
shilingi yo ni mwanaharamu shilingi
shilingi ya ua mapenzi
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
#chorus
ova mi na wewe ova
ova imetosha ova
ova mi na wewe ova
ova nimesema ova
#outro
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
ova ova
Random Lyrics
- azteca - eul 4 lyrics
- 1up tee - wytb lyrics
- drxvegitoz - city in the clouds(demo) lyrics
- kid rock (1970s band) - dream dream dream lyrics
- canned heat & john lee hooker - peavine lyrics
- alvaro soler - cero (sistek remix) [feat. namayana women's choir] lyrics
- john duff - hot boys (have feelings too) lyrics
- noizu - gasoline lyrics
- wonderland zone - city lights lyrics
- hicksville bombers - i sometimes think of you lyrics