mbuzi gang - shamra shamra lyrics
[intro]
run the record
london, london
(okwonkwo)
it’s your favorite boy, cash kid on the track
[chorus: fathermoh]
haka kadem kazuri joh kako vero
kisham+sham kinyam kitamtam
shuka na ngeus siezi mind ata kapedo
dame ni kafupi kanapenda magendo
ngoma ni kali uliza makurutu gang gang
imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!)
shamra shamra kelele na nderemo (ayayaya!)
shamra shamra kelele na nderemo (wueh!)
[post+chorus: fathermoh]
kishamsham kinyam kitam shamra+sham
kishamsham kelele na nderemo (oo+wee!)
kishamsham kinyam kitam shamra+sham
kishamsham kelele na nderemo (ayayaya!)
[verse 1: joefes]
sherеhe ni major tumekuja adi na tumbler (oo+wee!)
tulibеba mejja yule alifanya bablas
mbuzi ndio rende tunaroga adi wakamba
ole kitanda, ole+ole kandanda (waah!)
tingisha kichwa na kisha kamwage dandruff
kingfisher na picha ashaanza piga lap (waah!)
snap, snap sa nadai kujipa ++++
yap, yap, tei then tupige nap (ayayaya!)
[chorus: fathermoh]
haka kadem kazuri joh kako vero
kisham+sham kinyam kitamtam
shuka na ngeus siezi mind ata kapedo
dame ni kafupi kanapenda magendo
ngoma ni kali uliza makurutu gang gang
imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!)
shamra shamra kelele na nderemo (ayayaya!)
shamra shamra kelele na nderemo (wueh!)
[post+chorus: fathermoh]
kishamsham kinyam kitam shamra+sham
kishamsham kelele na nderemo (oo+wee!)
kishamsham kinyam kitam shamra+sham
kishamsham kelele na nderemo (ayayaya!)
[verse 2: iphoolish]
pesa sabuni ya roho inafanya nini kwa—
bash nawaekea minyoo nakata maji kinoo
mapenzi mi huw+nga dingo
nyoka irudi kwa shimo
luku ni fly ding’o inapiga simple stivo na— (ayayaya!)
mi huwa sijali, sijali ka una chali
naeza pita na wewe bila ata tafadhali
daily niko majani mbuzi yukuwa angani
mi hunyonga tai tu za monkey apa sidhani (wah!)
[chorus: fathermoh]
haka kadem kazuri joh kako vero
kisham+sham kinyam kitamtam
shuka na ngeus siezi mind ata kapedo
dame ni kafupi kanapenda magendo
ngoma ni kali uliza makurutu gang gang
imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!)
shamra shamra kelele na nderemo (ayayaya!)
shamra shamra kelele na nderemo (wueh!)
[post+chorus: fathermoh]
kishamsham kinyam kitam shamra+sham (okonkwo)
kishamsham kelele na nderemo (oo+wee!)
kishamsham kinyam kitam shamra+sham
kishamsham kelele na nderemo (ayayaya!)
[verse 3: mejja]
niaje msupa?
“niaje?”
niko na talent
“kaa gani?”
naeza fungua bra na mkono moja, unataka kuona?
“siwezi mind”
okay, keti chini, uh, geuka hivi, uh
wacha ncheze kaa mimi na ulimi, aah
usitoe ntakuchapa na hiyo mini, eh
chali yako kwa simu kelele (wah!)
chali yako ni stress ye ni msenge (mm)
mpige block tupige sherehe (haha)
usilie mamii skiza magenge
ntakutoa stress na nikupunguzie nyege, ah (haha)
[chorus: fathermoh]
haka kadem kazuri joh kako vero
kisham+sham kinyam kitamtam
shuka na ngeus siezi mind ata kapedo
dame ni kafupi kanapenda magendo
ngoma ni kali uliza makurutu gang gang
imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!)
shamra shamra kelele na nderemo (ayayaya!)
shamra shamra kelele na nderemo (wueh!)
[outro]
wu+uuh
it’s your favorite boy, cash kid on the track
aiyaiyaiya
Random Lyrics
- lilith - murder on quiet avenue lyrics
- skefre - comme moi lyrics
- format6537 - о тебе(about you) lyrics
- tan ping wei - in my dreams lyrics
- thai mcgrath - mario anime opening (full version) lyrics
- p-model - black in white lyrics
- frith hilton - pussy power lyrics
- wig wam - the bigger the better lyrics
- emre (uk) - ice 2 lyrics
- skullyx1 & grill z - outro lyrics