azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mc spook - nightfall levitation lyrics

Loading...

verse one [omondi ochuka]
nightfall levitation
highway with black-spots, without journey mercies
we survived plucked nerve cables
leave harvested souls in a garbage of spinal cords
leave an impression, thumbprints stain chapel doors
water bodies feed on excusable rivers on a pedestal
tattoo the amendment bridge where illegal angels
return their images to the cradle symbols
dark ages but the linen is wiped by public rituals
the missing tongue of the mind became perishable
empire of golden lambs, the wilderness is poisoned
bread, the body of prophets sleeps under dead seas
so they move mountains to create the mirage of sins
smell incense when they sell indulgence
after spiritual battle, angels of vengeance
walk with braided pinnacle to collect rent
rusty tax in bl–dy pompeii and roman coinage
sorrowful joy, the faithful suffer in gladness
take the mothers to the footage of aborted darkness
fathers to the tomb doors and beheaded sunsets
rhyme remorseful ballads
elegies and sonnets
when they redeem afterlife pulpits from the landscapes
spread the les off arrows, the rebirth of rape locks
cornerstones constructed on enemy soils and rocks
leave the soul choking in revealed corridors
long after high voltage underground symphonies reappear at the end of the road

verse two[mc spook]
hizi ni wonders of end
shreds of hiroshima
i give life to death as i curse my birth
f-ck your psalms, quran na hymns
am a child of stars, f-ck your conspiracy
dry bones are now speaking
return of big bang theory
tuna-live in error apocalyptic era
i don’t sell cause of lack of holy token
link between nature na man iko long broken
where will i go when i die
heaven or h-ll?
maybe i am living a lie
dunia ikiisha, maji itakuwa swallowed na sand
kila specie itakuwa ruled na hand
is that hypothesis
yet trapped kwa libertine speech
mc spook is a god born when a black woman cry
alien bible ilitucloth in shame
historia ilituwacha na fiction names za thor na isis
hizi thoughts zimekuwa frozen for centuries
my eyes are the keys of ancient gates
na-cleanse my thoughts na kisses za leila
satan’s fourth wife
hizi scriptures zinaniteka akili
highway with black-spots
without journey mercies we survived plucked nerve cables
hizi ni wonders of end
shreds of hiroshima
i give life to death as i curse my birth
illegal thoughts

verse three[omondi ochuka]
nimesimama kati ya past na infinity
soul uchungu ni kama rough-cast
kila wall ilibandikwa
ikakuwa cemented on my memory
kuna push, license na ticket
reaper akitembea na shovel
word ime-chase paper, pyramid ikauziwa roho
uchapishaji kwa novel
hivyo inafaa antenna iwe sharpened
siku hizi onyesho inaisha na watume wakikariri
mijumbe huku tied kwa nooses
project martyrs
makala vichwa vya habari viliandikwa na bullet
hadithi sio fupi
mashairi na siasa zilianzishwa jadi na wazee
baado danguro wall kilema
chini ya kile macho yanaona
baado miguu zikiasi dhambi kwa kuvuka daraja
kuna nyimbo za k-mbuk-mbu
mwisho wa mateso haijawahifuatwa na faraja
baado mamlakani kabila ni shama la wanyama
baado utamu wa mapenzi ni ile sumu anayoivuja
walioko nuru
jicho la tatu wamef-kiwa na maajabu ya alama
na walioko huru, minyororo wamefungiwa
darubini inaonyesha utumwa
what is death?
ni internal sleep za awakened thoughts
gate baada ya life
miti yenye ina-bear no fruit lazima niikate
holy kabala revolution baado nataka
wame-dilute our thoughts na flash memories
we still rock n roll in roads of poverty
strings za hunger zikizidiku-tie our organs
environment pollution
wrong knowledge on our inst-tutions
what the media feed us is pure fiction
kuwapinga ni sudden eviction
on the streets drug ni addiction
africa na snare za friction
your voluntary drugs zinatu-attack na kutu-infect
maladies and debts-
rape war na conning-
gospel war and sh-t
f-ck music fans
all of them are stupid like sh-t
i’m out of this sh-t
skiza mlumbi
akitema mawazo yenye kina
kiu haiwezikatwa na fulusi
hesabu misingi
ushuru umejiteka kwa damu na sadaka ya simanzi
ni ka wino iliiba shadows black kutokea reflections
baada ya kioo kuangusha tembe ya inspirations
roho inatafuta antenna
ila macho na mwili ziko slaughtered na karma
viatu burdened
vilifanya ulimi uzidiwe maarifa bush ikiungukiwa
pyramid na hesabu ancient zili-codiwa na patent
vitu cute
k-mbe model iko infested na virusi deadly
usijifanye kitu sumu
wakati hata gravel haina pride kukufunika uki-deady
hawasomi sun-god
l-b– ikiandika fate ya light year
hawaja-study measure
vile time ndio tailor accurate kuliko golden karat
ka ni linguist
me hufinya language ka n-z- ikitorture ma -jews
ka ni beauty
thoughts zangu scar-faced
chunga usishikwe fever ya dead body
ah, black cotton
damu nyeusi
nikichoma vitu mlimwaga ndani ya condom
vulture kwenye diary
mlianza na ka-selfie
reaper hakuwa amefungua mortuary



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...