azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

meaconscious - i love you by lyrics

Loading...

verse 1
mpenda boga nitunze ua lake
hakufuatae nyuma yake seke+seke//
nikikuudhi baby chukia kiasi
marafiki mafiriti usiwape nafasi//
nimtume angle ili iwe luck
usono uwe kiatu mficha aibu ya soksi//
j+po kidogo pokea vifurushi
nitajificha wapi ukiniacha sura nyati//
kata kiu jangwa lina oasis
kun+faya+kun mungu ata tubariki//
zikome dhiki na sisi tupande chati
upo peke yako, usiulize mpo w+ngapi//

love! love!

meacon iwe conscious
emili moyo safi//

bridge
nime fall na wewe, ni wewe
basi sema yes ili nami nifurahi x2

chorus
sema i love you, sema i need you
sema i love you ili nami nifurahi x2
verse 2

wana beep mapinduzi, penzi lako ukombozi
kwa wengine sizuzuki juu chini sibanduki//
k+mbuk+mbu kama picture, alama kama sticker
navinjari penzi lake ata kama sina pesa//
na mwendo kama tausi, sauti nyuni kasuku
na mwendo kama tausi, sauti nyuni kasuku//
darmadar twende sasa
pinga w+ngu, tepuza tudeng’e//
ng’ai katoto matozi misele mingi
mwenye makucha nimepewa mapele//

verse 3

yaliniumiza, yaliniliza hayana adabu//
niwe lonely lonely why
every day niwe na crys//

bridge
nime fall na wewe, ni wewe
basi sema yes ili nami nifurahi x2

chorus

sema i love you, sema i need you
sema i love you ili nami nifurahi x2



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...