medy canadian - unyamwezi lyrics
unyamwezi ni kushine, unyamwezi ni kushine, unyamwezi ni kushine , unyamwezi ni kushine (yaa) unyamwezi ni kushine unyamwezi ni kushine (yaa) unyamwezi ni kushine, unyamwezi ni kushine(yaa) manila wote ni mamba , wana piga misamba ukiwakuta kwenye angle basi na wameulamba maniga wote ni mamba, wana piga misamba ukiwakuta kwenye angle basi na wameulamba, maniga hawakopeshi (peshi peshi) hawadondoshi (ndoshi yaa) hawakopeshi
kama mnyamwezi lazma ushine
pamba ngumungumu sio lain
pended a drink the wine
kunywa hadi divine
n-gga kwenye mtaa wanamuita code k!ller, akivaa code wanafki wote wan-z-ra
n-gga code kali, code atari, moto wa kuotea mbali, code misumari inachoma atar n-gga sio wazuri
man-gga wamependeza
kwa mitoko na wanajiweza
code zao ni zakuteleza
wanapendeza na wanacheza
unyamwezi sio kukaba sio kuiba sio kupora bali unyamwezi ni
unyamwezi ni kushine, unyamwezi ni kushine, unyamwezi ni kushine, unyamwezi ni kushine(yaa yaa) unyamwezi mi kishine, unyamwezi ni kushine ( yaa) unyamwezi ni kushine, unyamwezi ni kushine
man-gga wote ni mamba wanapiga misamba ukiwakuta kwenye angle basi na wameulamba
Random Lyrics
- 2twoam - grio$ laboratory lyrics
- pandora - sueños lyrics
- wysoki lot - trzymaj się lyrics
- hrvy & malu trevejo - hasta luego lyrics
- marcelina - shake it mama lyrics
- noveliss - september lyrics
- vas leon - basement flow lyrics
- maes - avenue montaigne lyrics
- ltm jay - guhouse lyrics
- josh pyke - all those other lives lyrics