mejja - landlord lyrics
[intro]
landlord yo
landlord yo
landlord yo
landlord yo
landlord yo
landlord yo
landlord yo
landlord yo
[verse 1]
asubuhi imefika nimeamka bila balaa
naeka mkeka chini napiga swalaa
naenda zangu bafu kisha mambo safi
navaa chini sneaker, juu navaa shati
kisha… ksh ksh… oh sinanga marashi
nakunywa kahawa nikiteremsha kaimati
naskia kuna mtu anabisha mlangoni
kuenda kufungua, ah katoto kajirani
huwa kananipenda, ye hukuwa beshte yangu
mejja usisahau leo kuniletea madafu
leo ni lazima, redio inanibamba
juu kila station inacheza genge mbaya
juu nishashiba sa ni kuenda ku+hustle
nikienda kutoka ndio nifungue mlango
eh, jo, beste siamini
napata mwenye nyumba na kifuli mkononi
[chorus]
eh! usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
[verse 2]
mwenye nyumba amekubali amenipa mpaka jioni
sija chukulia hata gomba juu leo niko mbioni
napigia omondi, si unitupie mkopo
mejja wee nasahau, si niko na deni yako
wazi naenda kwa vaite kuchukulia ketepa
kuna manzi ako mbele yangu amejibeba
mi na yeye hapo natupa lugha
ashaanza kudai imagine sijakula
staki ajue mi hukula mandazi surwa
tunakula steers, nanunua beer
kisha zikimbamba anaanza kuniambia
sikujui lakini nakutaka sana itisha taxi tena haraka
kufika keja kwanza ni kushtuka
tumekula steers na hujalipa nyumba
sijui kwa nini nimesahau kuk+mbuka
[chorus]
eh! usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
[verse 3]
sijiskii kuhama na sitaki more drama
nishalipa nyumba ndio nikae kwa usalama
alafu ni zile siku mtu haskiangi kutoka
nimevaa vesti mi nimeng’ara boxer
naskia genge longi zangu nikiosha
eh! jirani yangu jo hupendanga kuchoma
mejja si ukam hivi jo tuchome kimoja
baadaye naenda mtaani kuchukulia mogoka
siskii kukaa nje naenda kejani kuchonga
natoa viatu najiekelea kwa sofa
naeka movie yangu ndio nione nikichonga
ikienda kubamba bana, blackout!
landlord hakulipa bill
na vile alikuwa ananispeedisha for real
maji imekatwa, stima imekatwa
hakuna tofauti na kuishi kwa kichaka
[chorus]
eh! usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
usiniharibie siku bana landlord
umenifika kwenye koo (eh eh eh)
wee ni tafash tu
Random Lyrics
- scarlet dorn - back to the ground lyrics
- the dark tenor - shatter me lyrics
- stn worship - you can always have my heart lyrics
- george myer - don't be selfish lyrics
- former vandal - sting lyrics
- the ji (rapper) - #ichsovielbesseralsihr lyrics
- broken youth - scythe (suffocate) lyrics
- nelson savage - auctioneering lyrics
- younjota - super saiyan lyrics
- queen wa$abii - 신토booty (native booty) lyrics