menace himself - nasaka nadai lyrics
[intro]
eeh, beat ni yake r n e
jeshi vengeance e n t, menace
“that’s it, and when you get to the point, where all you wanna do is be successful, as bad as you wanna breathe, then you’ll be successful. and am here to tell you number one, that most of you say you wanna be successful but you don’t want it bad, you just kinda want it”
[chorus]
saka nadai, saka nasaka nadai nasaka nasaka nadai
nipate nitese niwai, pate nitese niwai nipate nitese niwai
wallahi wallahi, taka yaani naidai na si baadaye saa hii saa hii
ni saa hii ni saa hii, kazini all time tafuta left na right
nasaka nasaka nadai, saka nasaka nadai nasaka nasaka nadai
nipate niwai, pate nitese niwai nipate nitese niwai
wallahi wallahi wallahi, taka yaani naidai
na si baadaye saa hii saa hii, ni saa hii ni saa hii
kazini all time tafuta left na right, left na right
[verse 1]
nitazidi na si ati nini (aye)
hii pressure naipata kwa wingi (kwa wingi)
ku saka nasaka, napata, nagawa ndio pia mandugu wadishi
ka silipwi mi si sababishi, bila ganji uko mi sifiki (siwezi)
ma+promoter wamejaa ufisi wanatukanja, wakitupinji
wera nayo kupata ni nadra
shinda baze ama ufanye umakanga (beba beba)
morio swara zilimuandama, akachoka na akajimada
hii shughuli najua ni mimi tu (bana joh)
nakazana nkiamini aliye juu, ku survive, mi singe survive
kwa izi street nina sh+t kibao nimedu
[chorus]
saka nadai, saka nasaka nadai nasaka nasaka nadai
nipate nitese niwai, pate nitese niwai nipate nitese niwai
wallahi wallahi, taka yaani naidai na si baadaye saa hii saa hii
ni saa hii ni saa hii, kazini all time tafuta left na right
nasaka nasaka nadai, saka nasaka nadai nasaka nasaka nadai
nipate niwai, pate nitese niwai nipate nitese niwai
wallahi wallahi wallahi, taka yaani naidai
na si baadaye saa hii saa hii, ni saa hii ni saa hii
kazini all time tafuta left na right, left na right
[verse 2]
vile mi nataka ndio nafanya, zako opinion jiekee
tangu september 2000, bila ata plan nimekuwa niki+finesse
nina audience, na+address, nani mwingine ka si menace?
wali jing’ora waki jigamba nikawasili waka ruka fence
na ni blanda ka bei hufiki, piga hesabu, rudi kijiji
nina pressure sina usingizi studio nakesha inanibidi
chunga sana ka bei hufiki, si rahisi ukiwa mjini
na si siri, nabonga sifichi ukitupa rada unakosa dishi
[pre+chorus]
(saka nasaka nadai nasaka nasaka nadai)
(pate nitese niwai nipate nitese niwai)
(taka yaani naidai na si baadaye saa hii saa hii)
(kazini all time tafuta left na right)
[chorus]
nasaka nasaka nadai, saka nasaka nadai nasaka nasaka nadai
nipate niwai, pate nitese niwai nipate nitese niwai
wallahi wallahi wallahi, taka yaani naidai
na si baadaye saa hii saa hii, ni saa hii ni saa hii
kazini all time tafuta left na right, left na right
[outro]
“i’m not saying am gonna rule the world or am gonna change the world, but i guarantee that i will spark the brain that will change the world and that’s our job, its to spark, somebody else is watching us”
Random Lyrics
- coffee & cream - 99 girlfriends lyrics
- silent forces (nor) - rap møter bhanghra lyrics
- rotimi - 100 (acoustic) lyrics
- the haxter - pokeballs lyrics
- elleran elvis - ramâ lyrics
- idha - get undressed lyrics
- elevation worship - build your church (live) lyrics
- staffорд63 - царица (queen) lyrics
- xelaz! - whitecocaine lyrics
- tisakorean - sunset lyrics