mercy masika - fungua macho lyrics
Loading...
wateule
tulioweka imani kwa yule
aliyetufia
wateule
tulioweka imani kwa yule
aliyetufia
sauti ya shaka, sauti yasema
hatutasimama, hatutaendelea
na sisi twasema, tutasimama
mungu yuko upande wetu
mkristo simama!
fungua macho
uone jeshi la malaika
limetuzingira
fungua macho
uone jeshi la malaika
tutashinda vita
wateule
tunaomuishia yule, anayetupenda
wateule
tunaomuishia yule, anayetupenda
mawazo ya shaka, mawazo yasema
hatutashinda, hatutaendelea
na sisi twasema, tutashinda
mungu yuko upande wetu
tutasimama!
Random Lyrics
- heavn - same old everything lyrics
- truant kids - yeah lyrics
- suzanne henry & craig lucas - who could be blue? / little white house lyrics
- c3yterk - puste twarze lyrics
- kid kaiser - engaged lyrics
- ásgeir - like i am lyrics
- prodigy of mobb deep - flirting with death lyrics
- lil panadol - hsc exams lyrics
- 麥浚龍 (juno mak) - 下文 (follow up) lyrics
- yousef shb7 - donjuan | دنجوان lyrics