mercylinah - washukuru lyrics
Loading...
umenipa uhai baba nafasinyingine ya siku mpya.
baaaabaaaa, nashukuruuu.
umeniponya roho na mwili tabibu wa ajabu wewe yesu.
babaaaaa, nashukuruu
umeondoa laana kabadilisha kuwa baraka.
baba, nashukuru.
kilio changu ewe yesu kabadilisha kuwa furaha.
baba, nashukuru.
kwa moyo w-ngu wote.
nasema asante kwako
messiah nashukuru
nilipokuwa mnyonge baba umekua nguvu yangu.
babaa, nashukuru
nayo mishale ya yule mwovu hayajanipata umenilinda
babaaa, nashukuru
umeniongoza mwokozi w-ngu kanisimamisha imara.
babaaaa, nashukuru
umenitoa kwenye shimo la giza kaniweka kwenye mw-nga.
babaaa, nashukuru.
kwa moyo w-ngu wote.
nasema asante kwako
messiah nashukuru
yale yote umetenda ni mingi mno na ya ajabu.
sijuie nisemeje.
messiah nashukuruuu.
Random Lyrics