mic gower - 02. full package lyrics
zaambuye music
[chorus – mic gower]
love , kwa yesu
swagga, kwa yesu
knowledge , kwa yesu
raha, kwa yesu x 2
tuko full package x 8
[verse 1- mic gower]
weka kwanza bando lako
uweze download upako
ukichek kwetu unlimited
mega bless mpka kesho
timba kwenye wokovu app
uweze kupata wapanzi
wako wanapanda mbegu
kwa yesu ndo mfinyanzi
neno kwetu sie bureee
uponyaji kwetu mbona bure
utashi sana tena bure
despline kama bonus
namtaja mimi kwao kero
maneno yangu yana kristo
wanasema nasound kama migos
sasa mbona ni uchuro
kila naposema ukwel
wanasema sana niko same
extreme ndio bando
extreme ndio mpango
extreme ndio kweli
extreme ndio kristo
extreme sio powa
linachoma choma mpka roho
[bridge]
every one want jesus
everyone need jesus
[chorus]
[verse 2- mic gower]
maombi kwetu ndio call
free calls everyday
text kwetu ndio kwake
nyingi mpka utablow
upendo wake bila vat
mikopo yetu automatic
mtii usipate emergency
upate bando la neema
jaza ujazwe, uni credo
hakuna matata joh
yesu ni supernatural
tena mtakatifu
cheap yake haina kwere
tulio nayo nibwerere
tangazo zetu ni uzima
maisha baada ya siku kuu
hiyo ndio halichachi life
unalipata ukioka joh
unalipata ukibatizwa
unalipata ukiawa na roho mtakatifu
sio mtakaba bifu
fujo fujo si hakuna kitu
wote ni upendo tu
yesu kwetu ndio kiki fam
[customer care – mwamini]
the number your calling is not reachable
please try jesus line
to get enternal life
[bridge]
every one want jesus
everyone need jesus
[chorus]
Random Lyrics
- bo luke - silver surfer lyrics
- nominalistas - nada por acaso lyrics
- casey dienel - paper mache lyrics
- hwoarang - aquarius lyrics
- wnc whop bezzy - out yo body lyrics
- choi sam - 광대 (clown) lyrics
- sad frosty - block boi lyrics
- sissy - i see you lyrics
- ceekay tme - ikone (jaden smith cover) lyrics
- frank la tanica - bombay lyrics