mic gower - belong lyrics
[intro- mic gower]
mi sihiitaji club or bar
sina sehemu nyingine ya kukaa
kanisani kw-ngu ndio nakaaa
nyumbani mwa baba yangu kuna raha
[verse 1- mic gower]
heey, wats good , wats poping
namshukuru mungu, kwa kunipa hii siku
kunipa kibali, kwa kufanya hii kitu
na safari ya mbali, najua he is faithful
kanitoa mbali, kanifanya mi na bang
kaniweka sawa, niwe kioo cha jamii
tena mwenye bidii, na misingi ya injli
sitaki makuzi, coz mi najua mi na win
am the baddest ever being, bless, grace and divine
i know my king, everywhere yuko nami, mpka mwisho wa dahari
tuliomkili tuna mwita dady
we dig deep, godspeed, tuko freshii
utukufu kwa jina kuu, lipitalo majina fool (haaaaaaah)
kuna sehem kibao za kuhang out, ubungo,kkoo, mak-mbusho
ila kanisani kw-ngu mie ndo lit, kuna nifanya niwe kijana good
sio bora kijana, mwenye future isio na maana
namtunafuta yesu kwa nguvu, ye aketie mahali pa juu, juu mbinguni
[chorus- mic gower]
mi sihiitaji club or bar
sina sehemu nyingine ya kukaa
kanisani kw-ngu ndio nakaaa
nyumbani mwa baba yangu kuna raha
usije nimix na mitaa mingine
am so fly, am so high
cjamoka lakini mi na vibe
this is my cool place, oh yeah
this is place i belong, eh
am in the cool place, oh yeah..
am in the cool place..oh yea
[verse 2- peter banzi]
am the logical christian, i have a logical p-ssion
me i belong to you, na hakika na yangu destiny
my life is a miracle, mwanaume ni yesu kiboko, oh oh oh oh
am born to concor , siku izi nashoot kama za john boko
oh my god, nakakupenda sana g.o.d
mbele zako nisahawaka, kisima nacho kimetibuka
hofu mashaka sinaga kabisa, ah!
mbele zako nimechili, somtimes nafunga uwaga sili
wacha niutese mwili, naongozwa na roho sio akili
god your awsome god, yesu we ni most higher
neno lako nalitaka, nikae kwa baba
i dont care, no matter what, dunia ushamba
yaan ni vanity, imejazwa watesi, nawasaliti
let me your positive, magoti napiga
baba natii , woooow..(eehy)
[chorus- mic gower]
mi sihiitaji club or bar
sina sehemu nyingine ya kukaa
kanisani kw-ngu ndio nakaaa
nyumbani mwa baba yangu kuna raha
usije nimix na mitaa mingine
am so fly, am so high
cjamoka lakini mi na vibe
this is my cool place, oh yeah
this is place i belong, eh
am in the cool place, oh yeah..
am in the cool place..oh yea
mi sihiitaji club or bar
sina sehemu nyingine ya kukaa
kanisani kw-ngu ndio nakaaa
nyumbani mwa baba yangu kuna raha
usije nimix na mitaa mingine
am so fly, am so high
cjamoka lakini mi na vibe
this is my cool place, oh yeah
[outro- mic gower]
my cool place
the place i belong..
Random Lyrics
- dr. calypso - gordo lyrics
- alexandertheactivist - $erenity ft. rondosantana lyrics
- филипп киркоров (philipp kirkorov) - тайна (secret) lyrics
- j mascis - give it off lyrics
- serpencia - prokletá lyrics
- theonlylilhomie - think about us lyrics
- emy la gargola - your lover lyrics
- the stereo state - whalesounds lyrics
- jeannine zoe - i am blessed lyrics
- bill withers - i don't want you on my mind lyrics