azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

michael love - wewe lyrics

Loading...

[pre+chorus]
nyonga weeda
bank account kama namba ya nida
yeah nipo skrrt, nipo race, nipo speeda
yeah mi na ball toka mchana saa sita, yeah mpaka giza
yeah kandamiza
apply pressure mpaka wataachia (yeah)
yaani utadhani nmepania
yeah k+mbe basi tu namkomalia
yeah ka hamida

[chorus]
yeah sikiliza, yeah
anga za juu, nipo high zaidi ya mwewe
walk with a stick utadhani nyerere
na mi ka pele, navyowauzia pele
wewe, n+gga wewe
mi nipo jani utadhani ngedere
mi sibishani cause spendi kelele
ukiiskia (pap) basi jua sio wewe
wewe, n+gga wewe

[verse]
yeah nimekula track suit jinsi nawakimbiza
rip kanumba jinsi mnavyoigiza
mnaongea pumba ukiwauliza wasizwa (hmm hmm)
tell the truth (sema ukweli!)
kila mtu anajua kwamba kwenu wakishua
unatambia ndinga ambalo mama amenunua
all that talking itakutoka kwa pua (hmm hmm)
wipe his nose (slatt)
mtoto mdogo bado kikojozi
nyie warembo wapaka vipodozi
ukitaka dawa basi amini zipo dozi
kama boda (skrt)
ukilete dharau utabaki kilema
aim it kichwani utadhani kilemba (pap)
mi na my gang kama waraab na wapemba
nisha sema
nipo kwenu
nimekunja nne guu liko mezani
na waskia sijui nani na nani
max na zembwela kweli mna matani (haha)
yeah mpo funny
tell me how umepinda na hujawahi lala ndani
tell me why you hating ukiniona huna amani
tell me where you staying nikutimbie maskani

[pre+chorus]
nyonga weeda
bank account kama namba ya nida
yeah nipo skrrt, nipo race, nipo speeda
yeah mi na ball toka mchana saa sita, yeah mpaka giza
yeah kandamiza
apply pressure mpaka wataachia (yeah)
yaani utadhani nmepania
yeah k+mbe basi tu namkomalia
yeah ka hamida

[chorus]
yeah sikiliza, yeah
anga za juu, nipo high zaidi ya mwewe
walk with a stick utadhani nyerere
na mi ka pele, navyowauzia pele
wewe, n+gga wewe
mi nipo jani utadhani ngedere
mi sibishani cause spendi kelele
ukiiskia (pap) basi jua sio wewe
wewe, n+gga wewe

[outro]
anga za juu nipo high zaidi ya wewe
n+gga wewe



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...