azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

michu - ni wewe lyrics

Loading...

ahsantuum

basi baby ninyoe nywele
haya baby uweke kope
leo weekend mama tutoke
ila muage mama tu usitoroke

tarataratibu leo gonjwa limepata tabibu
jibidu jibidu wakome mashiduu
nteketentekete ntekenye mama
naleta kisu nikate nyama
shika kidali ipo dhamana
nipe papuchi usiku na mchanaa

aloiii iii alooi am done iii am done
aloii aloiii

ni wewe.. ni wewe

ni wewe.. ni wewe

verse 2

sweetie you take me high i take you high
moon to the light girl you shine
nikiwa karibu yako i’m so fine i’m so fine (tararararaa)
ila usije ukanimwaga nikakosa heshima (korororoo)
wakakung’oa washamba eti kisa jina (nonononoo)

prokototo prokototo,,
baby wamoto oooh wamoto
wasije wachoko oooh wachoko
wakachukua hiyo taamu
hauko local hauko local
mapigo ya moyo hayadundii kushoto
your my cocoo my totoo aiiiiiiiii

ni wewe… ni wewe..



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...