micjack - best of you lyrics
(intro)
tara lala tara lilila
it’s kin boy just one more time nono nono nono
tara lala tara lilila
tara lala tara lilila
tara lili tara lala
(verse 1)
i’m addicted to you
all my life belongs to you
i am fallin’ love with you
i’ve fallin’ love with you
i’ll no go pretend to you
mwili wote umesha+paralyse
i’m fallin’ love with you
i’ve fallin love with you baby
(pre+chorus)
anitha dada rita
kwani umenipa nini mi sioni
saa sita usiku wa saa sita
tucheze kuchikuchi mpaka morning
hatari ta tatarita
na tukitoka out twende jogging
kisha nikuchapie na ka+guitar
ama nishike mic stejini mi nikuimbie
(chorus)
best of you (tara lala tara lilila)
best of you (tara lala tara lilila)
best of you (tara lala tara lilila)
best of you (tara lala tara lilila)
best of you (tara lala tara lilila)
best of you (tara lala tara lilila)
(verse 2)
ah mi najua
nishakutana na wengi
ila moyo ushasema hapana
moyo unataka nitulie e ee
you’re my desire
kwa kuwa unanipenda nami nakupenda basi tutaonana tutaoana
nafsi inataka tu itulie na wе honey
(pre+chorus)
anitha dada rita
kwani umenipa nini mi sioni
saa sita usiku wa saa sita
tuchezе kuchikuchi mpaka morning
hatari ta tatarita
na tukitoka out twende jogging
kisha nikuchapie na ka+guitar
ama nishike mic stejini mi nikuimbie
(chorus)
best of you (unaniweza unanitosha we)
best of you (unanikosha we, umenipata we)
best of you (unaniweza unanitosha we)
best of you (unanikosha we, umenipata we)
best of you (unaniweza unanitosha we)
best of you (unanikosha we, umenipata we)
Random Lyrics
- electric callboy - everytime we touch (tekkno version) lyrics
- malachi amour - not regular lyrics
- henri bleu - jette moi le sort lyrics
- p@r!5 - karma! (feat. paquito gonzalez) lyrics
- enzo avitabile - proprio accussì lyrics
- hunter powell - bass picked up lyrics
- cupid fell - bounce lyrics
- expose toxicc - give it my all lyrics
- manvggio - palermo lyrics
- scxtch - не только в вещах lyrics