
mimi mars - hater lyrics
[verse 1]
proud of myself
baba god amenibless
i love myself
ain’t n0body gonna stress me
proud of myself
baba god amenibless
i love myself
ila kuna watu wanahate
[pre chorus]
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
[chorus]
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k+mbe ni ma hater
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k+mbe ni ma hater
d+mn d+mn d+mn
d+mn d+mn d+mn
k+mbe ni ma hater
d+mn d+mn d+mn
k+mbe ni ma hater
d+mn d+mn d+mn
[verse 2]
wanakuchehea kwa face
ukiondoka wanakusema
wanakusema
k+mbe ni ma hater
hata ufanye nini
wao hawaonagi jema
hawana jema
k+mbe ni ma hater
me naishi maisha yangu
kujuana isiwe tabu
usinikate vibе
mbona unanikata vibe
me naishi maisha yangu
kujuana isiwe tabu
usinikatе vibe
mbona unanikata vibe
vibe vibe
mbona unanikata vibe
vibe vibe
mbona unanikata vibe
[pre chorus]
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
[chorus]
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k+mbe ni ma hater
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k+mbe ni ma hater
d+mn d+mn d+mn
d+mn d+mn d+mn
k+mbe ni ma hater
d+mn d+mn d+mn
k+mbe ni ma hater
d+mn d+mn d+mn
Random Lyrics
- kay grey - hungry ass lyrics
- kenytra - forever win lyrics
- rioma - swing low lyrics
- yungmii - psyché lyrics
- desiree camilleri (queen) - into the night lyrics
- marinella (grc) - απόψε που μαλλώσαμε (apopse mou mallosame) lyrics
- eyeriss - parsley daquiri lyrics
- hellsesssion - attack titans lyrics
- rachel croom - too awake to sleep lyrics
- richard dawson - silene lyrics