azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mimi mars - pole lyrics

Loading...

[verse 1 : nandy]
hivi ushasikia
mtu anaogeshwa na mdalasini
maana sio jina, anataja mpaka ubini
tena akiumwa huwaga hataki quinine
anachokitaka kuniona mimi
tena mkaka kw+ngu ndo kafall, ooh
yaani mazima, aah
kw+ngu hana shaka
kwako atakuja tomorrow
yaani kazima, aah

[pre+chorus : nandy]
nikuambie tu
mi ndo wakwanza
kama ukitaka kukiwasha, tunakiwasha
nikuambie tu
mi ndo wakwanza
kama ukitaka kukiwasha, tunakiwasha

[chorus : nandy]
nasema pole
wacha nikupe pole
mwenzangu pole
wacha nikupe pole
[verse 2 : mimi mars]
utanifanya nini kwanza kwa mfano?
we utajuaje tuko watano?
hata kw+ngu mimi, yaliyomo yamo
(ooh, yaliyomo yamo)
nampa vya pwani, vya kizaramo
tena usijaribu mashindano
huniwezi hata kimuonekano
(caah, muonekano)

[bridge: mimi mars]
sina noma, sina noma
nachotaka kukuambia sisi tushapendana
sina noma, sina noma, yeah
nachotaka kukuambia sisi tushapendana

[pre+chorus : mimi mars]
nikuambie tu
nishajipanga
kama ukitaka kukiwasha, tunakiwasha
nikuambie tu
nishajipanga
kama ukitaka kukiwasha, tunakiwasha

[chorus : mimi mars]
nasema pole
wacha nikupe pole
mwenzangu pole
wacha nikupe pole



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...