mitchelle omondi - way up lyrics
mitch-lle omondi…
ouououou iye
naiona nyota,j-po nilipo giza totoro
najikokota,nitokako visa migogoro
hata nikisota, sifi miyo sina kasoro
namwomba mola ,anihepushe shari
giza totoro ,giza totoro
ishara yangu ya mapambazuko
ndani ya moyo, ndani ya moyo
imani yangu sitikisike
niende mbali na safari,nimejikwaa ya kutosha
niende mbali na safari yeiyee
na mwishowe nitafika
so i’m going on on on to the top, nothing can stop me now ×4
i’m all the way up nothing can stop me i’m all the way up ×2
namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa nguvu ya kupambana
nang’ang’ana usiku na mchana, niweze kutusua
hali sio shwari, ila namshukuru kwa kila hali
nina imani, mi shujaa vitani
muda flani najiuliza niimbe story gani
ndo watu wanitambue
niimbe kwa key gani ndio watu washangilie
maana mziki vita yoyooo
jamani mziki mashindano ooooh
so i’m going on on on to the top, nothing can stop me now ×4
i’m all the way up, nothing an stop me
i’m all the way up ×2
Random Lyrics
- isha - tradition lyrics
- iv of spades - ang pinagmulan lyrics
- dayna kurtz - thanksgiving moon lyrics
- ikon - ah yeah lyrics
- jay critch - up a notch lyrics
- kirnath - same story different girls lyrics
- américo - nuestro juramento [homenaje a julio jaramillo] lyrics
- mohsen namjoo - buddah lyrics
- cemo - tek seninle lyrics
- zyke - sailor's heart lyrics