azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mkenya music - wapi lyrics

Loading...

lyrics

intro

kwenye dunia
kuna kupanda na kushuka
kuanguka na kuamka
mmmh

bado tunang’ang’ania
ila mengi nak+mbuka
ni bali tulikotoka
mmmh

hook

kama sio tu mungu baba
mimi
ningekuwa wapi ?
ningekuwa wapi ?

kama sio tu mungu baba
wewe
ungekuwa wapi ?
ungekuwa wapi ?
kama sio tu mungu baba
sote
tungekuwa wapi ?
tungekuwa wapi ?

waaapi x3

verse i [ elninoski]

i’m in love
with you my god
i’m in love
with you jesus x2

umekuwa nami toka kitabo
nikiwa bado mtoto
maisha yangu soko moto
eli kweli nimeyaona mambo
nyingi nyingi changamoto
mf+ko yangu msoto
nishike mkono
nitimize ndoto

hook

kama sio tu mungu baba
mimi
ningekuwa wapi ?
ningekuwa wapi ?
kama sio tu mungu baba
wewe
ungekuwa wapi ?
ungekuwa wapi ?

kama sio tu mungu baba
sote
tungekuwa wapi ?
tungekuwa wapi ?

verse ii [ mkenya music]

nimetafuta mapenzi mapenzi
nilichopata machozi machozi
ukanituliza mwenyenzi mwenyenzi
aa..aaa…

uliumba ardhi, nyota, mwenzi na jua
we ndio mwanzo na mwisho
kabla sijazaliwa ulinijua
peke ako ndio unaijua kesho

i’m in lovе
with you my god
i’m in love
with you jesus…
hook

kama sio tu mungu baba
mimi
ningekuwa wapi ?
ningеkuwa wapi ?

kama sio tu mungu baba
wewe
ungekuwa wapi ?
ungekuwa wapi ?

kama sio tu mungu baba
sote
tungekuwa wapi ?
tungekuwa wapi ?



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...