mkubwa na wanawe - nikupeti peti lyrics
Loading...
ayayayaya… mbwa na wanae na wanae×2
macho yananiumiza roho
silali nisipokuona mi naumia roho
kwenye mapenzi hamnanga commando
kunakuvua mbali mnaisizishow
nibusu nikubusu nikupeti peti chumbani
kukuacha sithubutu
we w-ngu walali mwandani×2
kwenye joto nibebe
ukichoka jilaze kifuani
vumilia my baby
tupatacho kidogo afueni×2
mi uniue
maaba niue×2
woyoyoyo… iki si kipimo cha mpigo
acha mwenzenu nicheke bali ninashindo
wanavyo kupiga majungu
mwenzenu natetemeka
naogopa wachina wazungu×2
naogopewa na bata wakatuchukua
kama pesa tutapata
my baby vumilia×2
end
Random Lyrics
- various artists - gori gori lyrics
- the age of jazz - de wandelclub lyrics
- taza púrpura - quiero oír tu voz lyrics
- yuri - a dueto con napoleon lyrics
- niedeckens bap - live version lyrics
- kip moore - backseat lyrics
- k3 - dat ik van je hou lyrics
- i11evn - pray for korea lyrics
- mina - proteggimi lyrics
- rakesh kishore, udith & jakes bejoy - mangoes lyrics