
mnaty official - solo lyrics
aah cheki
ni mnaty official
wo woooo
mmmh mmh mh mhh
aah sh+t nimefanya
na ule dem nilikuwa napenda sana
haah a lot of conflict scandals
vitu ni toxic ndio maana tukaachana
best of time ile saa uliketi kando
singejua hii ni life tungeabandon
rada bado tulijuana sa ndo
tukipendana na nikiblanda utanihandle
lakini love nilikupa nikama haukukua unaidai
cause every time when i looked into your eyes
mi najua unalie unadeny
na kila time nilikuona na maguys
ukiwapigia big wide smile
oh my my nilikupenda na uliduu zile vitu unajua haifai
i′m solo
i’m so low
i′m solo
washa mandom
stress imefika na imenifikanga koo
wananiitisha madoo
hawa mahoe
rada ni gani na mi sina hata kasoo
nimeshinda nikisaka na kila nikipata siezi takaa
juu roho hakujaza bado aliiwachanga ka vacant
si siri nilimpenda mwanadada
lakini imefika mahali mi siwezi hata fuata
so sikuvumilia nilikuambia vile mi nafeel my dear
nililia nilijua tu utarudia
na zile matabia zako za kungangania
kila time unafake na nagrind
nakupatia kila kitu hata my mind
dreams tumechase tunaiwacha kwa highway
let me do it in my way cause
i’m solo
i’m so low
washa ma
Random Lyrics
- imagine dragons - blurry lyrics
- braeker - choke me lyrics
- dj mb da dz7, mc luis do grau & dj rogys 011 - montagem eletromagnética lyrics
- mai lacey - lucy in the sky with diamonds lyrics
- naud - now that you're gone lyrics
- lil' vyro - trenches calling lyrics
- kaylee hazei - tia tamera lyrics
- gremlin - take me for granted lyrics
- eem triplin - came in it lyrics
- тартак (tartak) - божевільні танці (crazy dances) lyrics