mohmohrap - cheki lyrics
【pre-chorus】
aay ni mohmohrap
naflow narap
niko kisolo kwa mic
aay aay aay
【chorus】
(cheki ni moh cheki naflow cheki ni rapper cheki ni bro
nikiwa kwa beat sicheki nikiwa majuu namedi
-namedi na kando ni pedi nakaa mbali na mafegi
niko na thao ati kwa grao cheki ni mbao ah ah) ×2
【verse 1】
cheki nakaa – mi ni babaa mimi ni mohmohrap
cheki nagrow tena nago mimi ni moh
staki chapa biz mbao nataka biz ya mathao
cheki buda niko hustle cheki buda niko wera
hakuna time ya k-mbao weka x tatu mbao
high school tuli whistle tulimada sa ni biz joh
niko campo – wako libo mimi phone tu
fikra mingi za hii life – life bado si ni life na
show ya kwanza nili cancel – familia kwanza joh bro
mi hupambana na mao hapo kwa daro
nadai ball na makao yaani nataka tu mbao
yaani ma m ka thao
mi si bro wa dj afro niko kisolo
baba yao cheki moh cheki vile ninaflow
kama mkoro
【pre-chorus】
aay ni mohmohrap
naflow narap
niko kisolo kwa mic
aay aay aay
【chorus】
(cheki ni moh cheki naflow cheki ni rapper cheki ni bro
nikiwa kwa beat sicheki nikiwa majuu namedi
-namedi na kando ni pedi nakaa mbali na mafegi
niko na thao ati kwa grao cheki ni mbao ah ah) ×2
【verse 2】
cheki vile mi na go sms usi call
wacha uber panda shuka panda vuna
wacha chuma cheki boma ilishakufa
ona msupa bonga fiti ona mungu
shika selfie mwaga ndani pata junior
mimi bado mi ni vajo wewe bado we ni kanjo
pewa kote ah
mungu bado yuko hapo niko council
ninasema nikijua nyuma yangu kuna watu
wako rada ya maneno ngoma pia ni kaa neno
wajaluo wameneno ninasema wameona
walisema sijangoa ati flow bado noma
mimi basi nimesema nimesema ya kutosha
nimechoshwa na maneno nimechoshwa na maneno
ah ah
【pre-chorus】
aay ni mohmohrap
naflow narap
niko kisolo kwa mic
aay aay aay
【chorus】
(cheki ni moh cheki naflow cheki ni rapper cheki ni bro
nikiwa kwa beat sicheki nikiwa majuu namedi
-namedi na kando ni pedi nakaa mbali na mafegi
niko na thao ati kwa grao cheki ni mbao ah ah) ×1
Random Lyrics
- shelovesflowers - heartbreakboy lyrics
- ben lee - kids lyrics
- phil lynott - a night in the life of a blues singer lyrics
- og 3three - ambitions lyrics
- molly burch - true love lyrics
- billy marchiafava - super smash hoes lyrics
- 95one - barius bilson lyrics
- savage rob - johnny cage lyrics
- spar (tha mc) - spar - the northstar ( job bless ) lyrics
- rossi rich - jackie rob lyrics