mohmohrap - issue lyrics
niko na issue wasee niko na mbili aise
kuja na mbogi msee nawakilisha wasee
napatanisha wasee katikati ya wasee
na mamanzi wa wasee mimi bado yule msee
niko na issue wasee niko na mbili aise
kuja na mbogi msee nawakilisha wasee
napatanisha wasee katikati ya wasee
na mamanzi wa wasee mimi bado yule msee
(verse 1)
kila tima narekodi ninapatwa na mawazo
nani ananiskiza nani ananipata
wengi walinikata katikati ya maneno
basi nani anarada zile vitu ninasema
kila mwezi n+z+leta this time si ni double
kila na issue buda zimekam nilijam
mbogi mi nanyi na cheki moh
ah zilishakam ah zilishakam
wagwan
niko na issue wasee niko na mbili aise
kuja na mbogi msee nawakilisha wasee
napatanisha wasee katikati ya wasee
na mamanzi wa wasee mimi bado yule msee
niko na issue wasee niko na mbili aise
kuja na mbogi msee nawakilisha wasee
napatanisha wasee katikati ya wasee
na mamanzi wa wasee mimi bado yule msee
(verse 2)
mimi bado yule msee cheki simedi na msee
cheki sipedi msee lakini nabeba wasee
ni mi nanyi wasee si basi katambe msee [kabambew
ukinidai basi bisha na walai hii si vita [ita]
staki za henny leta ma penny
nilijitenga na watu walai
nikajaribu kapienga walai
nikajaribu kufyeka aii
nashukuru niko uhai
nipatе tu nai nachukia tai
nipate tu nai
niko na issue wasee niko na mbili aise
kuja na mbogi msee nawakilisha wasee
napatanisha wasee katikati ya wasee
na mamanzi wa wasee mimi bado yulе msee
Random Lyrics
- seinkero - no me arrepiento (del camino que elegí) lyrics
- вайо [vayo] - у меня, как всегда (i have it as always) lyrics
- сепсис (sеpsis) - mermaids cry lyrics
- eden ungar - solstice lyrics
- t.e.d.a the great - money lyrics
- nonetoosh - спанч боб (spongebob) lyrics
- duppy - return of the wooshu lyrics
- būnduke - fate lyrics
- 45 kimbo - mumble king lyrics
- happy wife - lullaby lyrics