mohmohrap - ugu lyrics
(hook)
okay ni moh si omollo
nilishamada mi si mono
naskia form ni tomorrow
we niite leo niko chonjo
ukidai hit basi njoo
ukidai keep basi njoo
ukidai k!ll we njoo
na ukidai beat basi no
ka huniamini explore, ka huniamini
(verse 1)
nikiwa beat niko lit niko chonjo
dabo dabo doh niko macho
we nipate pale thika sio vita
nadai pita iva lipalipa basi fika shinda
hakuna shida kuna stima
kuna lighter toa form leta home
kuna lighter toa form leta home
dj ongeza bass niko base
ya wajanja si umama si ufala
niko wera niko macho
hakuna kulala kupara ni kupata niko hapa ni kudata
na kama marker ninawacha alama
potepote yaani kote yaani kwote
mi si beast siku cheat niko in
ka ni wall mi picha we pin
we finya we sticker we pima basi shika italipa ikifika italipa
patanisha ka unajua, radanisha ka hujajua
niko serious basi, tambua
(chorus)
{ni moh nimetoka ugunja
moh nimetoka ugu
amo nimetoka ugu
moh nimetoka ugu} ×4
(verse 2)
si utoto si umono na
si uwongo mi ni chonjo na
mi moh mi ni moto na
mi si mwizi niko busy ah
na kipaji na lines kali ah
naenda mbali na sina transi na
ati lotto kubahatisha
natia bidii nasawazisha
apana chuki tatawanyisha
lete mbuku nitaandika
we book tafurahisha
ni mohmohrap ugunja
(hook)
okay ni moh si omollo
nilishamada mi si mono
naskia form ni tomorrow
we niite leo niko chonjo
ukidai hit basi njoo
ukidai keep basi njoo
ukidai k!ll we njoo
na ukidai beat basi no
ka huniamini explore, ka huniamini
(chorus)
{ni moh nimetoka ugunja
moh nimetoka ugu
amo nimetoka ugu
moh nimetoka ugu} ×4
Random Lyrics
- kurutta - это было в россии (it was in russia) lyrics
- ammo'k - o'h 11. killa track lyrics
- rubblebucket lyrics lyrics
- ampyx - ruins lyrics
- tede - olejnik to faja lyrics
- tv - hoppas dem hör oss lyrics
- velvet q - safety lyrics
- berquality - 034 lyrics
- icona pop - beating to the drum lyrics
- holly2k - you? lyrics