moipei quartet feat. miriam makeba - pole musa lyrics
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa taabu… taabu… taabu
kweli musavuliponioa
sura yangu, haikuwa na alama hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige
kweli musa, uliponioa sura yangu, haikuwa na alama hata moja nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige oye, oye
tafadhali musa tafuta bibi atakayeweza kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye ukinywa munyeke wamnywia yeye pole… pole… pole.
Random Lyrics
- los alegres de la sierra - el columpio lyrics
- los caligaris - morena q lyrics
- 25band - tooye rahe eshghim lyrics
- dame - alles zuviel lyrics
- carlão - a minha cena lyrics
- daniel padilla feat. kathryn bernardo - give love on christmas day lyrics
- moneda dura feat. nassiry lugo - al sudeste lyrics
- rami kleinstein - matanot ktanot lyrics
- zoé - nunca lyrics
- no doubt - don't speak lyrics