azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

moram tz – ilo amapiano lyrics

Loading...

vers 1

mbona unaleta maringo
nishasema nipo single
unatingisha na mwendo
unaruka na mitindo
nikiona wezere linanichanganya “changanya”
sasa mbona unabana bana “unabana”

bridge

ukinipa sitasimulia
nikipanda nitapapalia
nikipata sitakuachia
nitaruka na kushangalia

chorus

nipe niruke nalo ilo
nipe niseme nalo ilo

ilo ilo “ilo” ilooo
ilo ilo “ilo” ilooo

vers 2
unataka namimi nidange
upeleke umbea kwa mange
napiga misumari nashindilia
haina haja hata ya sidilia
wakija na wakuda
watatukuta barakuda
nipe mambo nipe nipe
nipe mambo nipe nipe nipe

bridge

ukinipa sitasimulia
nikipanda nitapapalia
nikipata sitakuachia
nitaruka na kushangalia

chorus

nipe niruke nalo ilo
nipe niseme nalo ilo

ilo ilo “ilo” ilooo
ilo ilo “ilo” ilooo



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...