azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

motra the future - sina koloni lyrics

Loading...

intro..

its ya dady
ya father
ya papa
ya dingilii

baba akoo ( motra the future)

[verse 1: motra the future]

cheke aaaah
mbona nlishayakimbiza toka kipindi ya nyerere
nikayamwagia upupu yaliponimwagia nyenyere
joh usidere usoni unapouwa ngedere
akunyimae kunde si amekunyima ushuzi wa njegere
siku hizi kuna majini ndani ya mapaka
ndo maana kila ndoa kuna talaka
ipi unataka?? ya msituni au ya machaka
so, ukiparamia mtambo ndo utaipata
daily namwomba mungu anipe muke niwowe
sio anipe msiba daily kw-ngu ni yowe
aje kibaka anitepeteshe nilowe
halafu aniache nanja juu nimenyoosha kidole.. cha kati
hizi ni nyakati za kuvunga
nakupenda we tu na ndo maana nakuchunga
mi sinaga hata koloni la kuzuga
ni wewe tuu kwahiyo ukizingua ntakuvunja
haaaah

[hook: g nako]
sina koloni koloni , sina koloni koloni
nimejitakatishaa
sina koloni koloni sina koloni koloni, nimejitakatisha
sina koloni koloni sina koloni, koloniii eeeh eeh eeh eehe
sina koloni koloni, sina koloni koloni eeeh eeh eeh eh

[verse 2: motra the future]

mi mambo mengi nilimalizaga hukoo
tena nilipokuona we ni mrembo nikaku-fall
ilikuwa ni usiku kuelekea mapambazuko
si ndo nkagongana na gari la upendo uso kwa uso
mi sio domo zege, wala mi sio play boy
ku stiki na wewe ndito huwaga mi na pray doi
nikikutajaga kwetu oi oi
bless toka kijenge, mwanama, banana , suye na moivoi
masela unishauri mkuu hao unapakata
kwani we si unakisu mkuu hao unawakata
sishawishiki juu yako utaona hao wanakacha
ni nafuu ya mchukuzi ile kuvuja kwa pakacha
nshakula ujana hizi ni nyakati za kuvunga
nakupenda wewe tuu na ndo maana nakuchunga
mi sinaga hata koloni la kuzuga
ni wewe tuu kwa hiyo ukizingua ntakuvunja

[hook: g nako]
sina koloni koloni , sina koloni koloni
nimejitakatishaa
sina koloni koloni sina koloni koloni, nimejitakatisha
sina koloni koloni sina koloni, koloniii eeeh eeh eeh eehe
sina koloni koloni, sina koloni koloni eeeh eeh eeh eh

[bridge: motra the future]

ooh wala sitaki wajaribu kuni
letea mazoea wakanirubuni
ndege ukapepea ikabaki huzunii
hata majirani wakaniona ni zuzu mii
again.. with (quick rocker)
wala sitaki wajaribu kuni
letea mazoea wakanirubuni
ndege ukapepea ikabaki huzunii
hata marafiki wakaniona ni zuzu mii

[g nako]

sina koloni koloni , sina koloni koloni
sina koloni koloni , sina koloni koloni
sina koloni koloni , sina koloni koloni
sina koloni koloni , sina koloni koloni

[hook: g nako]
sina koloni koloni , sina koloni koloni
nimejitakatishaa
sina koloni koloni sina koloni koloni, nimejitakatisha
sina koloni koloni sina koloni, koloniii eeeh eeh eeh eehe
sina koloni koloni, sina koloni koloni eeeh eeh eeh eh

[outro: g nako]
nimejitakatishaaaa
nimejitakatishaaaa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...