mr. blue - blue lyrics
b+l+u+e
b+l+u+e
b+l+u+e
b+l+u+e
mpenzi nipe karatasi
niandike hizi habari
habari za maisha ya game
maisha yote ya safari
maisha ya hatari
maisha ya shari
piga kabali
leo nitasema mengi
halitatosha hili daftari?
asubuhi k+mekucha najikuta kwenye music
gain all lane hakuna tena pa ku luzi
rada line kila angle
nasimama ka nyerere
nikifa hauzibi pengo
daddy ananiita malengo
mdogo kiumbo akili kama tembo
busy babylon bongo
msudani namsalamu
kichwani ni sifa nengo
k+mi na tatu ni miaka
yote nipo kwenye game
usiniulize navyo kunda raha
uliza pia msoto
so ukinikuta kwenye starehe na madem unanifuata
alafu unaniuliza habari za changamoto
game nilianza mtoto
leo nina watoto
mi ni mtoto nilifanya watoto wajue soko
kama sifa zangu zipo
na hamtaki kuzungumzia nitatulia
mwanaume hashindani na sidiria
b+l+u+e(come on come on)
b+l+u+e(say my name, say my name girl)
b+l+u+e(busy babylon,busy babylon)
b+l+u+e(eeh eeh iyee)
ni sammy rajab,nambari moja shule
sikuamini kama somo niliyatupa kulee
asante mola kwa music, mama kula tulee
promota mkwanja kwanza show sifanyi buree
kwa pamba za blue blue
ma siter duu wakani kiss kiss
shusha tabasamu kama umeni miss miss
tuko pamoja uswazi na mboga saba
usipocheza mapozi ataicheza mama na baba
mkiwa club si mnalewa tila lila
na role model wenu si ni babylon k!ller
msijifunge s+m+ni uso kwa uso
unaogopa ajali ya bodaboda na fuso
fanya business dada huwezi vadi
ulinzi uko salama shaki tagi
kama sifa zangu zipo na
hamtaki kuzungumza nitatulia
mwanaume hashindani na sidiria
mapozi nawe
b+l+u+e (come on come on)
b+l+u+e (say my name, say my name girl)
b+l+u+e (busy babylon, busy babylon)
b+l+u+e (eeh eeh iyee)
busy babylon…
busy babylon…
Random Lyrics
- preston eggert - a little bit lovely lyrics
- j.simplicity - let's take a tr!p lyrics
- blaerman - chef lyrics
- edurne - tal vez lyrics
- gimm - purple links (freestyle) lyrics
- painted sky - eastern standard girl lyrics
- daantjeb - timer lyrics
- le$ (boss hogg outlawz) - the mindst8 lyrics
- punto exacto - la fiesta del vecino lyrics
- die antwoord - don't sleep lyrics