mr right - woosh woosh lyrics
[intro]
tano nane, uh
kwani ni kesho, m+r r+i+g+h+t, yo
yo, listen, huh
yo
[chorus]
kwa hii nyumba, mimi ndio buda, baby girl, una+follow the rules
five eight, five eight, tano nane, kama unanijua, mi na+rep hiyo hood
tume+pull up, woosh woosh, they rolling kama backwood
m. right, nishakuwa addict, aki walai, si napenda ma+kush
na, na sipendi ma+snake, wana+beat around the bush
huyu b+boy jo ni m+simple, there’s no rush, mi na+rap vi+smooth
na, na niko kwa block, kuna+buzz around the bush

woosh, woosh, woosh, woosh
[verse 1]
m. right ni i, na+attract ma+p+ss (wapoa)
back then, nilikuwa footballer, coach sample, nili+hang ma+boots
top laga 254, ni+dm ukidai ma+goods
saa zingine mi hu+rap, mi hu+spit, saa zingine sinanga moods (uh+uh)
huu boy ni m+clean, ni m+pure, guys like me wanakuw+nga fewer
covid, f hiyo disease, five eight, tunakuw+nga na cure
man a driller, man a driller, slim slim sewеr (grr)
everyday sisi hupurura, man, hizi shash zishakua too much
i got omega on my wrist, chini ya maji, planet ocеan
m. right, me hukuw+nga m+social, by next week, i’ll keep you posted
huu mpoa ame+trip, ame+fumble, anadai kunikorogea love potion

tuna+hit a quarter mil views with no promotion
na, na tukiwa kwa lab, mi na dencho ni ma+explosion
tuna+hit a quarter mil views with no promotion
na, na tukiwa kwa lab, mi na dencho ni ma+explosion
[chorus]
kwa hii nyumba, mimi ndio buda, baby girl, una+follow the rules
five eight, five eight, tano nane, kama unanijua, mi na+rep hiyo hood
tume+pull up, woosh woosh, they rolling kama backwood
m. right, nishakuwa addict, aki walai, si napenda ma+kush
na, na sipendi ma+snake, wana+beat around the bush
huyu b+boy jo ni m+simple, there’s no rush, mi na+rap vi+smooth
na, na niko kwa block, kuna+buzz around the bush
na, na niko kwa block, kuna+buzz around the bush
woosh, woosh, woosh, woosh
[verse 2]
m. right ni mimi, si hupiga design zote
kwani ni kesho, au huamini?
na ukisikiza vitu tunaroga, si utafyat jo akili?
flow ni ka ya pili, huwezi nipima ka ratili
waliwacha kula moto, siku izi wana+katch ma+feelings
show ni ka hawafiki, ka hujui, si tunadai shilingi (cash, cash)
kwa hii concrete ni tricky, trace hiyo guap ndio upige tiki (nike, nike)
kwa hii concrete ni tricky, trace hiyo guap ndio upige tiki
[chorus]
kwa hii nyumba, mimi ndio buda, baby girl, una+follow the rules
five eight, five eight, tano nane, kama unanijua, mi na+rep hiyo hood
tume+pull up, woosh woosh, they rolling kama backwood
m. right, nishakuwa addict, aki walai, si napenda ma+kush
na, na sipendi ma+snake, wana+beat around the bush
huyu b+boy jo ni m+simple, there’s no rush, mi na+rap vi+smooth
na, na niko kwa block, kuna+buzz around the bush
na, na niko kwa block, kuna+buzz around the bush
woosh, woosh, woosh, woosh
Random Lyrics
- kodak black - back lyrics
- mehdi yz - danger lyrics
- 3b lab.☆s - 光 新ミックス盤 (hikari shin-mix-ban) lyrics
- raynevstheworld - better days lyrics
- kazzytunez - only you lyrics
- ciiio - ruf mich an lyrics
- kleo - i keep losing me lyrics
- wasuta - platonic girl lyrics
- the graeme watkins project - the last night lyrics
- bad takes only - bohemian grove lyrics