
msomali - anitaki lyrics
aaaah vitamin yooh
aaah msomali hapa (dully kibody)
nawasha data tu nakuta
kampost mtu wake
yaani anajijali yeye tu
ajali moyo wa mwenzake
aaah…
kapost kopa jeusi
anamaanisha kuwa mapenzi basi
bora angeni mute status
nisione vitu vyake anavyopost
yaani ajali…
hathamini moyo w+ngu uuuh
eti ananiacha mchana kweupe
maskini moyo w+nguu uh
aaah…
au nyota yangu
ndio imeshafifia, fifia
kila mtu ananikimbia, kimbia
kwani kosa langu nini iii
mpaka unanipiga chini iii
[chorus]
eti anasema anitaki
ananiacha peke yangu iii
anasema anitaki
ananiacha peke yangu
mwezenu mimi…
anasema anitaki
ananiacha peke yangu iiiii
anasema anitaki
ananiacha peke yangu
[verse 2]
kweli nilimpenda
nilitamani mpaka kwa wazazi wake kwenda
ila kila nikitaka kuonana nae
bado akanipiga kalenda
nilipoambiwa “kua uyaone”
nilijua maghorofa
k+mbe wahenga walikuwa na maana yao
mtoto wa mjini naonekana lofa
kanifanya big g
kanitafuna ladha imeisha
akanitema…
tena anatangaza mabaya kwa watu
eti mi kwake sifai tenaa
au nyota yangu
ndio imeshafifia, fifia
kila mtu ananikimbia, kimbia
kwani kosa langu nini iii
mpaka unanipiga chini iii
[chorus]
eti anasema anitaki
ananiacha peke yangu iii
anasema anitaki
ananiacha peke yangu
mwezenu mimi…
anasema anitaki
ananiacha peke yangu iiiii
anasema anitaki
ananiacha peke yangu
[outro – don breezy]
asandee shai daddy
we tajiri pm
from keko furniture, eeh!
zi star — don breezy
hivi unamjua don wewe?
Random Lyrics
- chris999-official - evil by design lyrics
- szila - baba lyrics
- k.m. (kashmoney) - everyday lyrics
- mija milovic - not offended lyrics
- prod. zed, 4ortake & epitxme - tough love! lyrics
- marcos villalobos - de haber sabido lyrics
- ikeepitbutter - out the window lyrics
- jaymikee - i will rise lyrics
- the mag (cze) & deetray - round 2 (deetray) lyrics
- mother mare - mirage lyrics