
msomali - imba lyrics
j4d sound
aaah vitamin yooh
natumia fani hii kuwapa salamu
kwa wale wenye kipato muache dharau
kwa wasio nakipato kesho tupande dau
sheba shebaah
oya mwenenu eh mi naimba (imba baba)
mi naimba imba (imba baba)
oya mwenenu mi naimba(imba baba)
mi naimba imba (imba baba)
eti wanarudi kinyume nyume kama wachawi
wanarudi kinyume nyume kama wachawi
mama wanarudi kinyume nyume kama wachawi
tena wanarudi kinyume nyume kama wachawi
kwa usafi wa mavazi kupata bwana rahisi yaani
na icho kisimu chako bando litakufilisi yaani
ivo vimacho viwili venye makava manne
ndio isiwe sababu kutoheshimiana
kutoeshimana kutoheshimiana sheba shebah
oya mwenenu eh mi naimba (imba baba)
mi naimba imba(imba baba)
oya mwenenu mi naimba (imba baba)
mi naimba imba(imba baba)
eti wanarudi kinyume nyume kama wachawi
wanarudi kinyume nyume kama wachawi
mama wanarudi kinyume nyume kama wachawi
tеna wanarudi kinyume nyume kama wachawi
oya we umеnipiga picha kunitumia mtihani
we umenipiga picha kwenye iphone
paka nikutumie bando lasivyo hupatikani
ivo vimacho viwili venye makava manne
ndio isiwe sababu kutoheshimiana
kutoeshimana kutoheshimiana sheba shebah
oya mwenenu eh mi naimba (imba baba)
mi naimba imba (imba baba)
oya mwenenu mi naimba (imba baba)
mi naimba imba (imba baba)
eti wanarudi kinyume nyume kama wachawi
wanarudi kinyume nyume kama wachawi
mama wanarudi kinyume nyume kama wachawi
tena wanarudi kinyume nyume kama wachawi
ona kapata ela ya mchezo kanunua mkorogo
mkorogo umesisha kabaki kama kuku wa mdondo
ivyo vihela vya mchezo vilaki laki mbili
ndio isiwe sababu kutoheshimiana
kutoheshimana kutoheshimiana sheba shebah
oya mwenenu eh mi naimba (imba baba)
mi naimba imba (imba baba)
oya mwenenu mi naimba (imba baba)
mi naimba imba (imba baba)
eti wanarudi kinyume nyume kama wachawi
wanarudi kinyume nyume kama wachawi
mama wanarudi kinyume nyume kama wachawi
tena wanarudi kinyume nyume kama wachawi
asandeee
shaidadyy
we tajiri pm
from keko fenicha
baraka mkandee
wee weee
aaaah vitamin yooh
imba baba
imba baba
imba baba
imba baba
Random Lyrics
- ghoztpow - я не верю никому lyrics
- 蘇打綠 (sodagreen) - 近未來 (near future) lyrics
- university (band) - curwen lyrics
- eccos, lluvia richards & steven richards - la gloria de dios lyrics
- joe sentieri - popon de pessa lyrics
- swaza6 - serenade lyrics
- robert c. ford - statue down (what will the pigeons do?) lyrics
- ghizela rowe - alfred austin - spiritual love lyrics
- dj snake & naomi sharon - goodbyes (myrrh) lyrics
- sosa kriminell - sag mir wieso lyrics