msomali - kwanini lyrics
aaahh msomalii hapa
nikiwa sambamba na wee mushizo utawauwa
hasa kwanini kwanini
hutaki kutoka na mimi
hasa kwanini kwanini
hutaki kutoka na mimi
hasa kwanini kwanini
hutaki kutoka na mimi
hasa kwanini ndo nini
hutaki kuvimba na mimi
eti mama nishapendeza twende woote
mi nishawaka nanukia twende woote
nitakuwa nyuma yako mama popotee
atakae kushika mhhh ahh tutakufa woote
asa mbona unanigomea
si ulitaka nguo nimekununulia
asa mbona utoki mi nakungojeaa
nimemuita bodaboda nasubiriaa
ahh mama kama unatoka njoo basi tuondokee
kama hutaki niambie mimi nisepe
kama unatoka njoo basi tuondokee
kama hutaki niambie mimi nisepe
hasa kwanini kwanini
hutaki kutoka na mimi
hasa kwanini kwanini
hutaki kutoka na mimi
hasa kwanini kwanini
hutaki kutoka na mimi
hasa kwanini ndo nini
hutaki kuvimba na mimi
eti mama uku kwenu sungu sungu
wamenikamata nyungu wamenipiga marungu
siji dada
tena uku kwenu sungu sungu
wamenikamata nyungu wamenipiga marungu
siji tena
kugoma kwako kuja k+menifanya nikapoteza muda
eti mama
kugoma kwako kuja k+menifanya nikapoteza muda
asa mbona unanigomea
si ulitaka nguo nimekununulia
asa mbona utoki mi nakungojeaa
nimemuita bodaboda nasubiriaa
ahh mama kama unatoka njoo basi tuondokee
kama hutaki niambie mimi nisepe
kama unatoka njoo basi tuondokee
kama hutaki niambie mimi nisepe
hasa kwanini kwanini
hutaki kutoka na mimi
hasa kwanini kwanini
hutaki kutoka na mimi
hasa kwanini kwanini
hutaki kutoka na mimi
hasa kwanini ndo nini
hutaki kuvimba na mimi
aahh natamba sana
dada sogea mbele tuoneshe wako uchizi
naumevua dela kiunoni umefunga irizi
we dada sogea mbele tuoneshe wako uchizi
we umevua dela kiunoni umefunga irizi
aaaaah aah mhhh utamu koleaa
aaaaah ahh ahhh utanipa wewe
oy jamani
noma kanjani kibampani
uyu,dada anaona poa
kufika geto uyu chura ataki kuvua
namshika kidogo mara paah kazimiaa
we dadaa
aaaaah aah mhhh nimi nikakimbiaa
aaaaah ahh ahhh zigo limeniangukiaa
ahh vitamin music for ever
ahha msomali hapa na hili goma nikiwa na
mushizo utawaua
kafa paka kazikwa nyauu
chapaa
nikiwa ndnai ya sms music
asandree
nakubali sana watotocwa mbagala watoto wa buza moja
watoto wa mbande watoto wa kisewe
watoto wa kigamboni watotocwa kucheree
kwanini by msomali ft dj mushizo
singeli vitamin a
Random Lyrics
- nate parrish - i'm alright lyrics
- uniqe, nkeeei & artem shilovets - омг (omg) lyrics
- jeff.burned - самое лучшее лето (the best summer) lyrics
- paper jackets - i'm depressed. lyrics
- dua lipa - houdini (remix) [mixed] lyrics
- protas - baby booty lyrics
- lil r jab - life is good lyrics
- pietro domenico paradies - m'ha preso alla sua ragna lyrics
- ryl0 - side eye (remix) lyrics
- major expedition - smog'd lyrics