
msomali - mapenzi yananitesa lyrics
[intro]
ahh vitamin music forever
vitamin, yoooh…
[chorus]
jamani mimi mapenzi, mapenzi (mapenzi)
mwezenu yanani te, yanani tesa (mapenzi)
jamani mimi mapenzi, mapenzi (mapenzi)
mwezenu yanani te, yanani tesa (mapenzi)
[verse 1]
minilipanga mi nioane na yeye
minilipanga mi nitakufa naye
minilipanga mi nioane na yeye
minilipanga mi nitakufa naye
yeeeh…
kwa ajili yake mimi napambana
minapigana na watu road, kutaka kuana
kwa ajili yake mimi napambana
minapigana na watu road, kutaka kuana
eti kisa sina kitu, mpungufu, kapuku
mwezenu nadhalilika sana
mi eti kisa sina kitu, mpungufu, kapuku
mwezenu nadhalilika mwaya
[bridge]
acha nilie mimi tu, mimi
mchumia juani, nitakula kivulini
acha nilie mimi tu, mimi
mchumia juani, nitakula kivulini
alinionea huruma ni mama yangu tu
nilipozidiwa, kichwa chini, miguu juu
alinionea huruma ni mama yangu tu
nilipozidiwa, kichwa chini, miguu juu
[chorus]
jamani mimi mapenzi, mapenzi (mapenzi)
mwezenu yanani tе, yanani tesa (mapenzi)
jamani mimi mapenzi, mapеnzi (mapenzi)
mwezenu yanani te, yanani tesa (mapenzi)
[verse 2]
minilipanga mi nioane na yeye
minilipanga mi nitakufa naye
minilipanga mi nioane na yeye
minilipanga mi nitakufa naye
yeeeh…
[breakdown]
aaah mamaa, oooh…
mapenzi, mapenzi, mapenzi yananikataa
mapenzi, mapenzi — nikisimama, nakaa
mapenzi, mapenzi, mapenzi yananikataa
mapenzi, mapenzi — natembea na chuchumaa
[outro – name hyped]
mapenzi, mapenzi, mapenzi yananikataa
mapenzi, mapenzi — nikisimama, nakaa
mapenzi, mapenzi, mapenzi yananikataa
mapenzi, mapenzi — natembea na chuchumaa
Random Lyrics
- нуар.88 (noir.88) - покой (feat. araféllе) lyrics
- delyphia - xtra lyrics
- farrah mechael - i don't lyrics
- alan walks - outro lyrics
- kahtsaro aquario - infatuated lyrics
- odtriggerkid - guns glocks tecs and dracs lyrics
- crygothboy - i see the end lyrics
- brray - yntrro lyrics
- dokyeom (도겸) - butter-fly (cover) lyrics
- benjicold - black lyrics