msomali - nenda dada lyrics
nenda dada aaah,nenda dada aaah
na engine ya pendo imefelii
kwa ulichonifanyia haki sio kweli
na engine ya pendo imefelii
kwa ulichonifanyia wala sio kweli
nenda dada nimechoka na vibweka
nenda mama asante kwa kunitesaa
nenda dada nimechoka na vibweka
nenda dada asante kwa kunitesaa
na engine ya pendo imefelii
kwa ulichonifanyia haki sio kweli
na engine ya pendo imefelii
kwa ulichonifanyia wala sio kweli
nenda dada nimechoka na vibweka
nenda mama asante kwa kunitesaa
nenda dada nimechoka na vibweka
nenda dada asante kwa kunitesaa
yangu amani imetowekaa
sioni furaha kwa watu minachekwaa
yangu amani imetowekaa
sioni furaha kwa watu minachekwaa
mapenzi ya nani duniani
kayaumba nani ni mananii
mapenzi ya nani duniani
kayaumba nani ni mananii
nenda dada aaah,nenda dada aaah
nenda dada aaah,nenda dada aaah
kifo cha njaa nateswa na nguvu ya giza
mi najiita fundi kwa miguno ya kuigizwa
nalia ahaa sina uwezo wa pizaa
we dada ahaa nifanye miujizaa
umenipa ndege mi dereva wa guta
sina la kufanya mi kwa watu na umbukaa
labda kwa mola haukuwa langu dowa
maana iliposema ohhla ndio nikampata doraa
labda kwa mola haukuwa langu dowa
maana iliposema ohhla ndio nikampata doraa
hata na nick anajua ninavyo umia
jelaous moyoni anakuchukia
na jike shupa anajua ninavyoumia
jelaous moyoni anakuchukia
nenda dada aaah,nenda mama aaah
eti mama sitaki tena kupendaa
sitaki tena kutendwa msomali
sitaki tena kupenda sitaki tena kutendwa
maana nilishapenda nikatenda penzi kidonda
shuka la mgonjwaa atarisi nani akienda
maana nilishapenda nikatenda penzi kidonda
shuka la mgonjwaa atarisi nani akienda
Random Lyrics
- joel corry & mabel - i wish (felix jaehn remix) lyrics
- lorenzo baglioni - il musical dell'orientamento scolastico lyrics
- bryson gray & d.cure - make it make sense lyrics
- blaze of sorrow - io, nessuno lyrics
- the hunts - ages lyrics
- enterprise earth - i have to escape lyrics
- peachyfranny - in the stars lyrics
- the after party - baby xanny lyrics
- vero - concrete lyrics
- murder man - yo no soy rebelde lyrics