azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mutoriah - go lyrics

Loading...

[verse ]
hutawai elewa hustle nimefanya
tuweze kuwa hapa
zingine halali
usiku mi silali
nahepa mapolisi
nimefika mwisho
ni shimo siwezi toka
siku nimengoja
ni mwisho wa dunia

[chorus]
if you love me
like you said you do
then there’s no point to proof
but if you were lying
then it’s time to go
i die on my own

[verse 2]
maisha pambazuka
kisha ni panda shuka
cheki nikianguka
heh yeh
nilidhani nimechanuka
niko kwa ukuta
come utanikuta, eh
nikitafuta wananitafuta
wapi kipande, na ya mafuta
leo wanagawa kesho wanageuka
leo wanapenda kesho wanapenduka
aki nachoka, aki nasota
nikiponyoka nimetoroka
kipande nimeacha nyuma nikiondoka
afande sio mimi, mimi nimeokoka (yeah)
but wе gotta pay them bills
gotta get the bеlly filled
maybe you’d ‘ve help me build a home
maybe you’d ‘ve get me k!lled
i know imma walk through the fire
and i know imma never get tired
when it come down to the wire
imma be down for you babe
[chorus]
if you love me
like you said you do
then i’ll make it through
but if you lying
go ahead and go
i will die on my own

oooh, oooh
oooh, oooh



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...