mwanafa - gwiji lyrics
nyoshi;
aaah mwanafa,nkoyiii
omeki okangami,wewe ni gwiji wa magwiji/
asiyekubali,aumbe dunia yake/
lakini mimi nyoshi el saadat nakuchukuliaga kama mobutu sese seko kuku ngbendu wa zabanga,le martial bosomba,seskuule,hahahaha
never end,never lose
mwanafa, légende légende légende
falsafa;
naota ndoto hazina rangi,naamka n+z+paka/
watoto wa kiswazi huwezi ukatuwekea mipaka/
mungu ndio ametaka,jongoo kawa nyoka/
hakuna kiunzi hatuwezi ruka/
tushasuk+ma sana milango iliyoandika vuta/
niamini na inafunguka/
mbwa mkali usikatize,wahuni tunapita/
tunayavuka kwa kamba madaraja yaliyovunjika/
mungu wetu halali,wala haendi likizo/
hatuachi k+muomba na anafuta matatizo/
yakija tena naomba tena na mungu anayafuta tena/
mioyo yetu ipo safi,safi ile kinoma/
kifo kiniue au maumivu yanikomaze/
yote sawa ila ujinga usinipumbaze/
kila kiumbe ana njaa yake,moyo na tamaa zake/
mbwa mpumbavu ndio anaweza bwekea ndege/
maua;
waiteee wamuone gwiji wajigambe/
waite waite waje wamuone gwiji wajigambe/
we hayaa x 2
falsafa;
mi ni hustler babe that’s what i do,i hustle/
shida hazikwepeki zipo kukupima muscle/
zikutoe macho,zikutoe jasho/
zikupe akili na zikuandae kwa kesho/
jikaze mwana usichukuliwe mateka/
ka unaachana na dunia we ndio uandike talaka/
ukiomba mafanikio fahamu yanakuja na wivu/
havitengani havikai mbali,kidevu na ndevu/
dunia haitasimama ukigoma kutembea nayo/
sio magumu ka ku’cl!ck link kwa bio/
kakamaa nakupa moyo/umegusa tu b+tton siyo/
kuwa mpambanaji kama binamu yangu suyo/
huu sio mziki wa mafala,ni mziki wa mataita/
unakuweka kitako na chaki unakufundisha/
una’feel the passion,zaidi ya telemundo/
mapanchi mengi hata touch akizima mdundo/
bye bye
Random Lyrics
- marco teitei - fezes lyrics
- vio lyrics lyrics
- orplid - traum von blashyrk lyrics
- harold arlen - paris is a lonely town (demo) lyrics
- nate vandeusen & horizon blue - we will always be lyrics
- jay clique - party vibes lyrics
- desert bloom - waves lyrics
- gsn - somos lyrics
- phyzabeck - wurk lyrics
- mano careca - rolê louko part 2 lyrics