azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mzee yusuph - elina wangu lyrics

Loading...

mme: ewe elina w+ngu, nnakupenda kwa hakika
mke: na mimi roho yangu, nimejitolea sadaka
mme: elina nakupenda mwendo
mke: kwa nini?
mme: huwendi kwa haraka
mke: na wewe nakupenda sura
mme: kwa nini?
mke: ilivyoumbika
mme: ewe elina w+ngu nnakupenda kwa hakika
mke: namimi roho yangu, nimejitolea sadaka
mme: nilipokuwona moyo ulibabaika, sikujua tena akili ilivyoniruka
sikujizuiya ndipo kwako nikafika, nikakuelezea ombi langu hukutaka
mme: elina nakupenda mwendo
mke: kwa nini?
mme: huwendi kwa haraka
mke: na wewe nakupenda sura
mme: kwa nini?
mke: ilivyoumbika
mme: ewe elina w+ngu nnakupenda kwa hakika
mke: namimi roho yangu, nimejitolea sadaka
mke: linaloniuwa nami kwako natamka, ni sura ambayo ndio inauonivuta
pamoja na umbo lako lilivyojengeka, hilo ni pumbao kw+ngu mimi liso shaka
mme: elina nakupenda mwendo
mke: kwa nini?
mme: huwendi kwa haraka
mke: na wewe nakupenda sura
mme: kwa nini?
mke: ilivyoumbika
mme: ewe elina w+ngu nnakupenda kwa hakika
mke: namimi roho yangu, nimejitolea sadaka
mme: napenda miguu yako ilivyoumbika, na meno ya juu mwanya ulivyokatika
kw+ngu jambo kuu jasho linonimwaika, mwendo kama huu wenda na kutetemeka
mme: elina nakupenda mwendo
mke: kwa nini?
mme: huwendi kwa haraka
mke: na wewe nakupenda sura
mme: kwa nini?
mke: ilivyoumbika
mme: ewe elina w+ngu nnakupenda kwa hakika
mke: namimi roho yangu, nimejitolea sadaka
mme: napenda tutoke twende unapopataka, mwendo wako wa madaha na kutikisika
roho iridhike mepata nnachokitaka, napenda ucheke nione mwanya ukitoka
mme: elina nakupenda mwendo
mke: kwa nini?
mme: huwendi kwa haraka
mke: na wewe nakupenda sura
mme: kwa nini?
mke: ilivyoumbika
mme: ewe elina w+ngu nnakupenda kwa hakika
mke: namimi roho yangu, nimejitolea sadaka
mke: tubembeleze mapenzi, mpenzi tupendane
mme: usiwasikize hao mpenzi tupendane
mke: tubembeleze mapenzi, mpenzi tupendane
mme:tuwache fitina zao mapenzi tupendane
mke: tubembeleze mapenzi, mpenzi tupendane
wote: tubembeleze mapenzi, mpenzi tupendane

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...