mzungu kichaa - jitolee lyrics
uchumi unashangaza
wengine wanayo wengine hawana
we tajiri sikiliza mara moja
usingekuwepo bila mama yako
nani aliamua awe mama yako
huu ndiyo uamuzi wa dunia
kwahiyo lazima uyaheshimu
pamoja na akina mama wote
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
heshima kwa wababa heshima kwa wamama
heshimu kitu cha bure kila mtu anastaili
ila dunia sasa imejaa kitendawili
unyama ufedhuri sasa umeshika hataam
viliyo vya kinamama imekuwa kama salaam
jiulize ungekuwa nani kama asingekuwepo mzazi
ubinadaamu kazi, dunia inapata radhi
kila ninapopita matajiri hawana utu
roho za umasikini zimetawaliwa na kutu
wanataka maisha bora wavivu wakuthubutu
waliyo kata tama sasa wana shika mtutu
majani ananiambia twenzetu ado ado
rusha mikono juu kama uko kamaligado
aspen obrigado
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
kuna watu tofauti katika dunia yetu
mmoja anajaribu kusaidia jamii
wakati mwengine hajali kitu kiliko dola na senti
maendeleo hayana muelekeo
kama tama inadumu kwenye kichwa chako
hautakuwa na umoja na dunia
binadamu baado wana lia
umaskini unawabania
kwanini hautaki kuwasaidia
kwenye kaburi hautatulia
sababu ya kuletwa kwenye hii dunia
baado haijafanikiwa
wee ndo masikini
hakuna mwengine
wee ndo masikini
hakuna mwengine eeeh
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
ero
olmurani loi
orl musungu kichaa
keiyaa
sidai
aya
kirabioto
kirasidan
supati engishu
eeehhh naleng
aya
ashe babalai
ole sere
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
mikono juu
jitolee na usaidie
ombi kwa binadamu
upendo usipotee
Random Lyrics
- play attenchon - identidad lyrics
- hua chenyu - 地球之鹽 lyrics
- lil x21 - empty lyrics
- tng,pele - hdmi lyrics
- remstik - 0123456789 lyrics
- peor es nada - gregarios felices lyrics
- vivinos - cure lyrics
- camp claude - banshee lyrics
- payday monsanto - the bad guy lyrics
- hyperdimensional - strangely lost lyrics