azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mimi mars – sitamani lyrics

Loading...

switchh
sifikirii mangapi nafanya
kukuridhisha baba we

sitamani kua nawe tena tena aah
na vile me nimefundwa vyema nikavumilia kua nawe
nimeamini wahenga lisema sema aah
vyema kupenda ukipendwa
penda unapopendwa mpendwa
usijependa usipopendwa mpendwaaa
sitamani tena kupenda
nilishapenda na kutendwa
sitopenda nisipopendwa teena aah
sitamaniii
sifikiriiii
usidhanii
kua nami
kukupenda nikupende boy
ila ukaniona me kama koolo
navyotaka sitoweza boy
mifupa siwezi mwenzio kibogooyo
kukupenda nikupende boy
ila ukaniona me kama koolo
navyotaka sitoweza boy
mifupa siwezi mwenzio kibogooyo
vyema kupenda ukipendwa
penda unapopendwa mpendwa
usijependa usipopendwa mpendwaaa
sitamani tena kupenda
nilishapenda na kutendwa
sitopenda nisipopendwa teena aah
sitamaniii
sifikiriiii
usidhanii
kua nami
sitamanii yeah yeah yeah
sitamanii yeah
sitamanii yeah yeah yeah
sitamanii yeah
vyema kupenda ukipendwa
penda unapopendwa penda
usijependa usipopendwa mpendwa mpendwaaa
sitamani tena kupenda
nilishapenda na kutendwa
sitopenda nisipopendwa teena tena teenaaa
sitamaniii
sifikiriiii
usidhanii
kua nami
“esto kizy baby”



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...